Tume ya mishahara kuwekwa hadharani

neym8990a

JF-Expert Member
Nov 8, 2017
244
196
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema muda si mrefu serikali itatoa taarifa kuhusu tume iliyoundwa kwa ajili ya kufanyia mapitio mishahara ya watumishi wa umma kwa nia ya kuondoa tofauti mbalimbali inayowanyima fursa wafanyakaxi ya kulipwa kutokana na madaraja yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi inajenga miundo mbinu kwanza mishahara ya nini jamani ? Mbona mmeweza kuishi na hiyo mishahara toka 2015 hamjaacha kazi? Vumilieni Onyesheni Uzalendo kwa Nchi Yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha ha ikifika kati kati tutakuwa tunakagua vyeti vya walaioteuliwa kwenye tume ya mishahara..
 
Back
Top Bottom