Tume ya maadili ya viongozi na Tume ya haki za binadamu

Ndamwe

JF-Expert Member
Jun 11, 2008
203
123
Helo wanajamvi,
Jamani naomba mwenye kufahamu vizuri majukumu ya hawa watu katika nchi hii. Hivi viongozi wabovu katika taasisi za umma wanaweza kushitakiwa kwa tume hizi na wahachukuliwa hatua zozote? naomba kujuzwa kwa vile nchi yetu wakati mwingine imezidi kulindana, hawa wana meno ya kutosha? Nawasilisha
 
Back
Top Bottom