Tume ya Maadili ya Viongozi mtaakaaje kimya kwa Kitendo cha aibu cha Naibu Spika Tulia Ackson?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,495
51,090
Nimeona video, video ya naibu spika akifanya kitendo cha hovyo kabisa. Kitendo cha aibu.

Naibu Spika amekaa na watu walioweka bendera ya Chadema kwenye Jeneza huku wakiimba mapambio ya kifo.

Hiki ni kitendo cha aibu, siyo cha uungwana na kwa kweli hakistahili kufanywa na mtu yeyote achilia mbali Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Najiuliza tume ya maadili ya viongozi wa umma iko wapi kukemea vitendo vya aibu kama hivi.
huko nyuma tume ya maadili imewahi kutoa karipio kwa viongozi waliofanya mambo kinyume cha maadili, sasa leo hii ukimya huu wa nini?

Kwa kitendo hiki alichokifanya Naibu Spika, siyo tu kwamba amejiaibisha yeye mwenyewe bali ameliaibisha hata bunge maana sijaona mahali popote ofisi ya bunge ikimkemea kwa matendo yake ya aibu.

hebu just imagine video ile isambae duniani halafu watu waone kuwa Naibu Spika wa bunge la Tanzania anabehave vile si tutaonekana Watanzania tuna mambo ya kishenzi?

Naibu Spika Tulia achukuliwe hatua za kinidhamu kupitia tume ya maadili ya viongozi wa umma!

Video ya aibu hii hapa chini:

Usimwache mwanamke mchawi kuishi – Kutoka 22:18. Nimeanza na aya hiyo kwa sababu ninasikia ya kwamba wewe umeokoka, kwa hiyo ninaamini ya kwamba unasoma Bibilia.

MUNGU ameanza kujibu maombi yako, kwani mmoja wa wanafamilia yako amekufa kwa ajali huko Morogoro. Tusidanganyane kwamba yale yalikuwa ni maigizo kwa viwango vyako. Ule ni uchawi uliofanya kwa maagizo ya mganga wako.

Mshindani wako Betina ni mzuri, anavutia na anapendwa na wanakaya ndiyo maana wamempachika jina la RAIS wa Kaya yao, kwani kazi zake zinakubalika. Zaidi ya kujivunia uchawi wa mama yako, huna mvuto wowote na hakuna la maana ulilolifanyia taifa hili toka upewe cheo ulicho nacho kwa ujanja ujanja. Ulichofanikiwa ni kuingiza udikteta katika muhimili unao ongoza. Huna UZALENDO kwa tafsiri sahihi ya UZALENDO.

Kitendo ulichofanya ni LAANA na CHUKIZO kwa MUNGU, nashangaa wakubwa wako wote wa kiroho na kidunia wameshindwa kukukanya.
SUBIRI MATOKEO.

Kilangila.
 
Nimeshangaa sana na watu wanaomuita Tulia Jackson 'Msomi'

Ukienda shule na kupewa cheti hauwi msomi..unakuwa
'mwanakisomo'..cheti ni kithibitisho tu kuwa shule ulipita na kuhitimu

ili uwe msomi ni lazima maneno na matendo yako baada ya kutoka shule yaoneshe kuwa kweli umepevuka kwa kiwango
fulani na unaweza kuwa mfano ya watu walio kwenda shule wakatoka na maarifa ya kuwapa wengine..hapo ndo tunakuita
'msomi'

Tulia Jackson hata limitation tu ya madaraka yake ya unaibu spika hayajui..

Kuna mambo mengine Spika anayakuta tu anayafanya
mfano ile ya kurudisha hela serikalini..

Tulia ashanukuliwa live akisema Rais yuko juu ya bunge kinyume kabisa na katiba ya nchi.....

Kuna watu wa kuwaita wasomi lakini sio Tulia...Tulia ni Mwanakisomo..
 
Huyu dada ujengaji wake wa hoja hauna tofauti na form 4 leaver.

ana haiba ya uchawi ndiyo maana anashiriki kufanya uchuro.
 
Nimeshangaa sana na watu wanaomuita Tulia Jackson 'Msomi'

Ukienda shule na kupewa cheti hauwi msomi..unakuwa
'mwanakisomo'..cheti ni kithibitisho tu kuwa shule ulipita na kuhitimu

ili uwe msomi ni lazima maneno na matendo yako baada ya kutoka shule yaoneshe kuwa kweli umepevuka kwa kiwango
fulani na unaweza kuwa mfano ya watu walio kwenda shule wakatoka na maarifa ya kuwapa wengine..hapo ndo tunakuita
'msomi'

Tulia Jackson hata limitation tu ya madaraka yake ya unaibu spika hayajui..

Kuna mambo mengine Spika anayakuta tu anayafanya
mfano ile ya kurudisha hela serikalini..

Tulia ashanukuliwa live akisema Rais yuko juu ya bunge kinyume kabisa na katiba ya nchi.....

Kuna watu wa kuwaita wasomi lakini sio Tulia...Tulia ni Mwanakisomo..

Acha wivu wewe
 
Kwa kifupi tulia yeye alikua akifundisha masomo ya yanayohusiana na succession i.e Law of Succession hii inafanana na sheria za mirathi pia alikua anafundisha sheria ya hifadhi ya jamii Social Security Law hajawahi kua mbobezi wa kitu chochote kile kama vile yule jamaa aliepewa uwakili wa viti maalumu wote hawana ubobezi wa kitu chochote kile..
 
Back
Top Bottom