Tume ya Haki za Binadamu ichunguzeni Polisi

jirani mtata

Member
Oct 7, 2021
5
6
1. Jeshi la Polisi limekuwa likiweka mkazo mdogo kwenye kupunguza uhalifu badala yake linatumia nguvu kubwa kwenye siasa

2. Jeshi la Polisi linatumia mabavu na ukatili mkubwa kwenye kutengeneza kesi mbalimbali za kubumba

3. PGO imekuwa ikipuuzwa kwenye utendaji wa polisi

4. Ajira za polisi haziendani na uhitaji wa kitaaluma ndani ya jeshi.
 
🤡🤡🤡
8860003675.jpg
 
halafu ikitoa majibu yatakayoifurahisha jamii hii ya kisiasa ni hatua gani zitachukuliwa??
 
Back
Top Bottom