Utamaduni
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 1,279
- 597
hahaha mimi nadhani inabidi tuunde tume kukuchunguza mchungaji kwanini unapinga uundwaji wa tume muhimu katika Taifa letu.
teh teh teh
nashaui iundwe tume ya kuchunguza tume zilizoshindwa kufanya kazi na kutoa ripoti sahihi