Tume-mmiss Yusufu Makamba,Tunahitaji sara zake sasa

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
18,107
2,000
Hii ni katika uchaguzi mkuu wa CCM huko Dodoma, ambapo alisema safari ya Uchaguzi wa Mwaka huu( 2015) ulianzia pale. Maana watampata kocha (M/kiti wa CCM) atakayeleta ushindi 2015.

Katika uchaguzi ule aliomba kwa kukemea shetani ashindwe na kura zake za maruani! Nadhani sara yake ilisikika. Je, safari hii hawezi tena kutumia sara hiyo kukemea shetani na kura zake za maruani zishindwe kuanzia kwenye CC, halmashauri kuu na Mkutano mkuu wa Chama wakati wa kutafuta mwakilishi wa CCM kwenye uchaguzi mwaka huu?

Na uchaguzi huu ndiyo utapima kama Kocha anakikosi bora cha ushindi. Fanali Octoba, 2015.

Alinifurahisana aliposema hata ubwabwa anakula wakati akintuzwa pesa....!

 
Last edited by a moderator:

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
18,107
2,000
Hivi team watangaza nia hamkubaliani na Mzee Yusufu Makamba, nini...! Mbona mmeisusa uzi huu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom