Tume iliyoundwa Bagamoyo mbona kimyaaaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume iliyoundwa Bagamoyo mbona kimyaaaa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIBURUDISHO, Jun 21, 2011.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Jamani kama mtakuwa mnakumbuka vizuri mwaka jana kipindi kile cha kampeni mh Dr Slaa alibaini ubadhilifu wa kiasi kikubwa cha pesa ktk halmashauri ya Bagamoyo.Iliundwa tume iliyopewa muda wa miezi 6 iliyotakiwa itoe majibu mwezi Mei mwaka huu lakini hadi sasa mbona kimyaaa au ndo stail ya Tume?????
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,799
  Likes Received: 1,583
  Trophy Points: 280
  Hivi ni Dr. Slaa au Pinda? Hii ni ile skandali ambapo watu walisimamishwa na wanamtishia maisha Mkuu wa Mkoa wa Pwani Hajat Amina Mrisho?
   
 3. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ile ilikuwa funika kombe mwanaharamu apite
   
 4. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,004
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Tanzania Magamba Tume=TUMELIWA.
  MIAKA 5O YA UHUNI
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  ile ya matundu ya choo?
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,097
  Likes Received: 10,414
  Trophy Points: 280
  Kimujinimujini aroo!!!tume inaundwa kwa mapesa tele halaf no majibu! Asee nataman ningepata hilo shav la kuwa ndani ya tume za kimujinimujini nile cha juu haaaa
   
Loading...