Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
Tume iliahidi kuwa matokeo ya kura za Urais nayo yatatangazwa majimboni kabla ya kujumlishwa rasmi na tume na kutangazwa rasmi. Kwamba sasa wanataka wasimamizi wa majimbo wasitangaze hadi wapeleke taarifa NEC kutasababisha wasiwasi usio wa lazima. Tuache wananchi watoe sauti yao bila kuivuruga.
Ninawasihi sana tumeshapiga kura kwa amani, na watu leo wamesubiri kwa amani, tusitafute sababu ya kuwavuruga wananchi hasa matokeo ya uchaguzi yatakavyoonekana. Hamtaweza kabisa katika sayari hii kuelezea ushindi wa asilimia 80!
Liacheni litakalokuwa LIWE.
Tanzania itaendelea kuwepo.