Elections 2010 Tume ifanye ilichoahidi; matokeo ya Urais yatangazwe hadharani majimboni

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Tume iliahidi kuwa matokeo ya kura za Urais nayo yatatangazwa majimboni kabla ya kujumlishwa rasmi na tume na kutangazwa rasmi. Kwamba sasa wanataka wasimamizi wa majimbo wasitangaze hadi wapeleke taarifa NEC kutasababisha wasiwasi usio wa lazima. Tuache wananchi watoe sauti yao bila kuivuruga.

Ninawasihi sana tumeshapiga kura kwa amani, na watu leo wamesubiri kwa amani, tusitafute sababu ya kuwavuruga wananchi hasa matokeo ya uchaguzi yatakavyoonekana. Hamtaweza kabisa katika sayari hii kuelezea ushindi wa asilimia 80!

Liacheni litakalokuwa LIWE.

Tanzania itaendelea kuwepo.
 
CDF . . . . . inadaiwa ndege yako ya kivita imeonekana na Rada ya kijeshi maeneo ya magogoni na NEC!

Kwema huko!

Mtandao wa Wapinzani wote una Intelligencia yao ya kupata centralized results.

Slaa alibainisha jana kuwa anapata updates zote toka mikoani.

Safari hii itaeleweka kama watanzania huwa wanalala wamefumba macho au wanakodoa kama sungura!

Na maumivu ya kichwa huanza pole pole . . . . .

Amandla!
 
Tume iliahidi kuwa matokeo ya kura za Urais nayo yatatangazwa majimboni kabla ya kujumlishwa rasmi na tume na kutangazwa rasmi. Kwamba sasa wanataka wasimamizi wa majimbo wasitangaze hadi wapeleke taarifa NEC kutasababisha wasiwasi usio wa lazima. Tuache wananchi watoe sauti yao bila kuivuruga.

Ninawasihi sana tumeshapiga kura kwa amani, na watu leo wamesubiri kwa amani, tusitafute sababu ya kuwavuruga wananchi hasa matokeo ya uchaguzi yatakavyoonekana. Hamtaweza kabisa katika sayari hii kuelezea ushindi wa asilimia 80!

Liacheni litakalokuwa LIWE.

Tanzania itaendelea kuwepo.

Source mzee wangu; WE CAN
 
NEC wasituletee ujinga hapa hii nchi ni ya watanganyika hilo halina ubishi lkn nec na ccm wanataka kutudhulumu haki yetu hawawezi kamwe
 
wananchi wameamka sana safari hii, so waangalie athali za uchakachuaji kabla ya kuufanya
 
........Mhhhhh!!Kulikoni tena wanabadilika hao NEC? Naona wamebanwa hadi wanataka kudhulumu sasa........naomba waruhusu tu matokeo urais nayo yaendelee kutangazwa majimboni ili watu tujue mshindi halali wa urais.
 
Ninawasihi sana tumeshapiga kura kwa amani, na watu leo wamesubiri kwa amani, tusitafute sababu ya kuwavuruga wananchi hasa matokeo ya uchaguzi yatakavyoonekana. Hamtaweza kabisa katika sayari hii kuelezea ushindi wa asilimia 80!

Liacheni litakalokuwa LIWE.

Tanzania itaendelea kuwepo.
Hili suala hivi sasa lipo mikononi mwa raia na namna ya NEC kuchakachua haya matokeo hawawezi kwa sababu watu wanajumlisha kila kituo kwa hiyo waachie demokrasia ifuate mkondo wake........................vinginevyo fujo na vurugu zikitokea wao ndiyo watakuwa wawajibikaji wa kwanza.....................
 
Ukiona wanazuia utangazaji wa matokeo basi sababu yake ni moja tu. Ni

kutaka kuyabadilisha.

Lakini CCM wameshawahi kuonya mara nyingi: Wakishindwa hakutakuwa

na amani. Ila wajue Watanzania wengi wako upande wa pili.
 
Nasikia sasa ni kuwa matokeo yote yanakuwepo katika kutangaza matokeo kwenye fomu zote lakini kwenye TV ndio hawatangazi lakini wawakilishi wa vyama wanapata matokeo yote hadi ya kura za Rais katika kila jimbo. Kwa hiyo sasa hivi Chadema wameanza kukusanya idadi hiyo kutoka majimbo ambayo tayari wameshashinda na mchuano ni kweli kati ya Slaa na Kikwete na mmoja wao anaongoza si kwa kura nyingi sana.
 
CHADEMA fanyeni jitihada za kuwaweka hapa jamvini, msikae nayo huko; nguvu ya Umma inahitaji kujua ni nini kinaendelea; ili itakapokuwa kinyume tuhoji tukiwa na vigezo. Jamainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wekeni data hapa, au vipi?
 
Nasikia sasa ni kuwa matokeo yote yanakuwepo katika kutangaza matokeo kwenye fomu zote lakini kwenye TV ndio hawatangazi lakini wawakilishi wa vyama wanapata matokeo yote hadi ya kura za Rais katika kila jimbo. Kwa hiyo sasa hivi Chadema wameanza kukusanya idadi hiyo kutoka majimbo ambayo tayari wameshashinda na mchuano ni kweli kati ya Slaa na Kikwete na mmoja wao anaongoza si kwa kura nyingi sana.

Kuna lengo gani kutotangaza? Kama zikihesabiwa kura za Urais zikakamilika katika mkoa, ni nini kinafanya wasiruhusu kutangaza kila mgombea kapata ngapi?

Tunataka UWAZI ili kuondoa wasiwasi wa mbinu chafu. Kenya walisimamisha kutangaza matokea na waliporudia kuyatangaza wakatangaza ya kufikirika. Hatutaki hayo yatokee kwetu.
 
Tv zetu hapa utadhani zote zinaendeshwa kwa kodi zetu kama TBC1. Niliziona za Kenya zilivyokuwa huru kutangaza kura za MAAMUZI ya Katiba yao.
 
Cha msingi kwa kuwa Slaa anapata updates, katika majimbo ambayo idadi imekamilika na matokeo yanafahamika wayaweke tu kuhu ili tujua mapema. Kiwango cha kudhulumu tukijue!!!

CHADEMA wekeni hapa mahali palipo tayari!!!:smile-big:
 
Back
Top Bottom