Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa pale tu CHADEMA na wapinzani kwa ujumla watakaposusia Uchaguzi Mkuu 2020

Bila tume huru hakuna wakushiriki huo uchafuzi wenu
Tume ni Huru. Nyingine ya nini? Ushauri wangu kwenu, jiandaeni kwa uchaguzi. Mkibaki Tume Huru, Tume Huru, mtashtukia uchaguzi huo na mjajiandaa. Shauri yenu!!!!

In God we Trust
 
Tume ni Huru. Nyingine ya nini? Ushauri wangu kwenu, jiandaeni kwa uchaguzi. Mkibaki Tume Huru, Tume Huru, mtashtukia uchaguzi huo na hamjajiandaa. Shauri yenu!

Naomba unijibu haya maswali!
1. Mzazi wako anakupangia uoe/uolewe na nani. Na bado kwenye mechi zako anataka ashiriki!!
Kwa akili ya kawaida je, uko huru?

2. Timu yako inajipanga kucheza mechi ya fainali dhidi ya timu inayomilikiwa na mwenye ligi yake ambaye pia ni mkuu wa marefa na makamisaa ambaye pia ni mdhamini wa walinda usalama uwanjani. Hivi bado unapeleka timu uwanjani bila wasi kwa matarajio ya ushindi?
 
Wakirekebisha katiba tena ile aliyopendekeza mzee warioba watakuwa wamefix tatizo la tume huru.
 
CHADEMA hakitasaidiwa na wala kuimarika kwa kuparikana kwa tune huru, bali utakuwa na mashiko na maendeleo iwapa watapata viongozi wazuri na wenye nia njema na chama chao.

Kwa huu mpukutiko wa kila siku, hiyo Tume huru itawasaidia nini? Hawa vijana 12 kwenye mirandao, wasiokuwa na weledi wa walilotumwa hawakisaidii chama, na hawa wanasiasa vinara na waliopewa vyeo kikabila/kirafiki na Kindugu, ambao baadhi yao hawana maadili ta kinaisha mazuri na midomo yenye vijineno vya uvundo, nao wanazidi kukiporomosha chama.

Viongozi manajsi hawafau kupelekwa mbele ya umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkirindi, Tume huru ni kwa ajili ya CHADEMA au ni kwa ajili ya taifa linaloongozwa kwa haki ?!. CCM inajinadi kama chama imara na inayokubalika, kwa nini ihofie uwepo wa tume huru?!. Mnapendwa sawa. Weka neutral ground kwa wote halafu ulete majigambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila tume huru hakuna wakushiriki huo uchafuzi wenu

In God we Trust
Litakuwa jambo jema. Hata Serikali za Mitaa si mlisusa? Kipi kimehatibika mpaka sasa hivi? Nchi imetulia tuliiii!!! Bila kusahau a multitude inayounga mkono juhudi!
 
Naomba unijibu haya maswali!
1. Mzazi wako anakupangia uoe/uolewe na nani... Na bado kwenye mechi zako anataka ashiriki!!
Kwa akili ya kawaida je, uko huru??

2. Timu yako inajipanga kucheza mechi ya fainali dhidi ya timu inayomilikiwa na mwenye ligi yake ambaye pia ni mkuu wa marefa na makamisaa ambaye pia ni mdhamini wa walinda usalama uwanjani... Hivi bado unapeleka timu uwanjani bila wasi kwa matarajio ya ushindi??
I don't comment on hypotheticals!
 
Tume huru ni kwa ajili ya Cdm au ni kwa ajili ya taifa linaloongozwa kwa haki ?!. Ccm inajinadi kama chama imara na inayokubalika, kwa nini ihofie uwepo wa tume huru ?!. Mnapendwa sawa. Weka neutral ground kwa wote halafu ulete majigambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli hauwezi kufichika, Tume Huru ni Haki ya kila Mtanzania, japo ninakipenda chama changu, lakini ukweli utabaki kuwa ukweli, Tume huru inahitajika. Ninakasirishwa sana na chama kikuu chabupinzani, kwa uzembe unaofanywa na viongozi wa sasa. Mimi ni muumini wa siasa za mashindano, miaka ya 2010 na hadi 2015,

nilipendezwa na namna upinzani wa chadema kilivyoweza kututingisha, hadi ikabidi, ccm itafute kete mbadala kujirekebisha, akapewa usukani Mhe. KINANA, ilimbidi atembelee kila kitongoji nchini, kukinadi chama na kurudisha imani ya wanachama, alifanya miujiza na jitihada ambayo haijatokea. Wakati huo chadema nao walisimama kidete na siasa zilikuwa na afya.

Ninapenda kuona upinzani wenye afya, nguvu na weledi. Rafu na vituko vya chama tawala hivi sasa , isiwe kisingizio cha kupunguza jitihada, ni kweli upinzani unapata shida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeaahau kutwambia na barua kutoka kwa Pompeo inasemaje!
Litakuwa jambo jema. Hata Serikali za Mitaa si mlisusa? Kipi kimehatibika mpaka sasa hivi? Nchi imetulia tuliiii!!! Bila kusahau a multitude inayounga mkono juhudi!

In God we Trust
 
Mbabe kesha sema anasubiri kusikia Tume huru ya uchaguzi imeundwa.
Jee CCM wanadhani USA wanazungumzia uchaguzi wa 2025?
IMG_20200215_234440.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA, nilipost uzi unaosema kuwa CCM wameweka mapandikizi yao yagombee lakini niliishia kupigwa BAN ya miezi mitatu na hawa moderator mpaka uchaguzi ukaisha bila bila.

Sasa leo nawaambia hivi, CHADEMA na upinzani kwa ujumla mnatakiwa kutoa tamko la kususia uchaguzi mkuu 2020 endapo tume huru haitaundwa.

Nawahakikishia kuwa WAKATI NI SASA, mtakuja kujuta huko mbeleni pale mtakaposema BORA TUNGEJUA.

Ni vema uchaguzi ukafanyika hata mwakani 2021 kukiwa na tume huru yenye maridhiano kuliko kufanyika mwaka huu kwa kutegemea FAIR PLAY ya tume iliyopo.

Msipogomea uchaguzi mkuu, HAMTOBOI.
Kaka katika vitu hawawez kufanya icho ni chakwanza Kwan watakosa wa kumlaum wao wajichanganye waone vyama vya upinzani vipo vingi na lazima vitashiriki na usidhan walisusia uchaguzi wa uenyekit kisa tume huru sio kweli sababu ni haiwalip na hawana maslai yao Sasa wewe endelea kuota

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom