Tume Huru ya Uchaguzi Iko wapi?

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Katika hali ya kawaida,Wakati mchakato wa kubadilisha katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania ukiwa ukingoni mwake,Watu wengi bado hawajangamua ni kwa namna gani Chaguzi huru zitafanyika, "(""Rasimu ya katiba inasema kutakuwepo na Tume huru ya uchaguzi,) Lakini rasimu hii hii haisemi ni kwa namna gani tume hii itaundwa, Hivyo kuna uwezekano wa kuja kulia 2015, wapenda demekrasia Ni lazma Tufanye kazi ya Ziada kuhakikisha Tume huru ya Uchaguzi inakuwepo.

Vinginevyo Demokrasia haitatendewa haki , Demokrasia kama inavyofahamika na utekelezaji wake unaanza na Tume Ritz MSALANI Mungi Molemo Mhamedi Mtoi@PISTO LERO Ben Saa nane.
 
Mkuu, tume huru ya uchaguzi tusikae na kubweteka bali tuipiganie kwa vyovyote vile watawala hawana haja nayo. Kati ya mambo nyeti yanayopaswa kupewa kipaumbele katika bunge la katiba ni hili suala la Tume Huru Ya Uchaguzi.Ni wakati muafaka kwa sasa kuwashinikiza wawakilishi wetu kuhakikisha jambo hili linajadiliwa kwa upana wake katika bunge la katiba bila kusahau maoni ya wadau wa demokrasia nchini.
 
ukitaka kuwachokoza CCM wewe ongelea Tume huru ya uchaguzi.
 
Bila katiba mpya tume huru ya uchaguzi ni usanii tu. Bila ccm kuondoka madarakani katiba mpya ni ndoto tu.

CHADEMA wakiingia madarakani 2015 jambo la kwanza katiba mpya, baadaye tume huru ya uchaguzi
 
Hivi lini daftari la kudumu la wapiga kura litaboreshwa ili VIJANA waliofikisha UMRI wa kupiga kura 18+ years waweze kupata haki yao ya kupiga kura kwanza uchaguzi wa serikali za mitaa 2014, pili katiba mpya 2015, na fainali uchaguzi mkuu 2015.
 
Bila katiba mpya tume huru ya uchaguzi ni usanii tu. Bila ccm kuondoka madarakani katiba mpya ni ndoto tu.

CHADEMA wakiingia madarakani 2015 jambo la kwanza katiba mpya, baadaye tume huru ya uchaguzi

Mkuu Mungi,

Mleta mada anajua bila tume huru kutaendelea kuwapa magamba mwanya wa kuiba kura zaidi hasa kwa ubabe wa wakurugenzi kutangaza kibabe matoke feki huku wakiachia mahama hukumu.

Wewe unaamini tume huru kupatikana baada ya cdm kuchukua madara. Tunaitaji mkakati hapa wa nini kifanyike.
 
Mkuu, tume huru ya uchaguzi tusikae na kubweteka bali tuipiganie kwa vyovyote vile watawala hawana haja nayo. Kati ya mambo nyeti yanayopaswa kupewa kipaumbele katika bunge la katiba ni hili suala la Tume Huru Ya Uchaguzi.Ni wakati muafaka kwa sasa kuwashinikiza wawakilishi wetu kuhakikisha jambo hili linajadiliwa kwa upana wake katika bunge la katiba bila kusahau maoni ya wadau wa demokrasia nchini.

Sawa kabisa.
Ikumbukwe hii ndio siri pekee ambayo watawala hawataki igusiwe,Maana Tume huru ndio itakayoibua Serikali mpya, Kwa maana ya Sera za Chama.
 
Bila katiba mpya tume huru ya uchaguzi ni usanii tu. Bila ccm kuondoka madarakani katiba mpya ni ndoto tu.

CHADEMA wakiingia madarakani 2015 jambo la kwanza katiba mpya, baadaye tume huru ya uchaguzi

Mungi usiseme hivo.
Maana bila tume Huru Chadema haitaweza kushika Dola, Tume huru ndio njia pekee iliyobaki kuleta Sura Mpya katiks Tanzania.
Kwa Mantiki hii isichukuliwe tu kirahisi bali kwa kulitia msizitizo ili tuweze kufikia Mabadiliko
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mungi,

Mleta mada anajua bila tume huru kutaendelea kuwapa magamba mwanya wa kuiba kura zaidi hasa kwa ubabe wa wakurugenzi kutangaza kibabe matoke feki huku wakiachia mahama hukumu.

Wewe unaamini tume huru kupatikana baada ya cdm kuchukua madara. Tunaitaji mkakati hapa wa nini kifanyike.

kwa sasa tutafanya utaratibu wa nguvu ya umma kulinda kura. Hakuna ujanja mwingine
 
Back
Top Bottom