Wakuu umofia kwenu,
Baada ya hili sekeseke la mchanga wa dhahabu kuchukua hatamu, kwa uelewa wangu kuhusu haya mambo, na baada ya ACACIA kuomba tume huru ya mchanga wa dhahabu. Ili kukata mzizi wa fitina, ningeshauri tume ya mchanga wa dhahabu iwe na mjumuisho wa watu wafuatao,
-Tume ya kwanza ya mchanga wa dhahabu
-Tume ya pili
-Tume ya tatu
-ACACIA
-TMAA
-SGS AUSTRALIA
-ALEX STEWART
-UMPIRE
-Bunge
Huo ni mtazamo wangu tu, maana nina imani hapo hatokuja kulalamika tena mtu.Na ikiwezekana ACACIA akubali kugharamia kila kitu. Tunataka haki yetu tujenge nchi
Kauli mbiu iwe WIN WIN SITUATION