Tume ajira ni makusudi au wamesahau Kuonyesha orodha ya waombaji?

kanga

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,020
1,225
Katika tangazo la kuita waombaji wa nafasi za kazi kwenye mahojiano kwa nafasi zilizotangazwa tarehe 28/05/2012 ,Tume ya ajira imeorodhesha nafasi mbalimbali lakini baadhi ya nafasi na kwa taasisi moja hazikuonyewshwa .Mfano MAKTABA YA TAIFA, OSHA (OCCUPATION,SAFETY AND HEALTH AGENCY..
Ni wajibu wa Tume kuwaeleza waombaji sababu za kwa nini nafasi hizo orodha ya waombaji na tarehe ya usahili haoneshwi?AU kama tarehe ya usahili itafanyika wakati mwingine baada ya mchakato wa kuchuja waombaji kukamilika. Ni vema uwazi ukatawala katika ajira na kuondoa maswali mengi yanayojitokeza.
Kama kuna orodha nyingine tofauti iliyotolewa kwenye wavuti wa www.ajira.go kwa tarehe 15,17,21/11/2012 naomba kufahamishwa. Mara nyingi wapambe wa tume uonekana kwenye jf kutoa majibu na ufafanuzi naomba pia ufafanuzi wa kina kutoka kwenu.ASANTENI
 

mafanikio

Member
Jul 23, 2009
53
95
mdau naomba upitie habari yao iliyoko katikati ya tovuti yao inaonyesha wazi kuwa ni baadhi ya taasisi tu ndio zimetolewa ila yaonekana zilizobaki zitatolewa baadae. tuendelee kuvuta subira. hata mimi mwenyewe nangojea moja ya post hizo ulizozitaja kama nitakuwepo maana niliomba na mimi. ndio maana nafuatilia sana matangazo yao, yaani hivi sasa kila sekunde simu yangu ni lazima niangalie web yao.
 

Ndikwega

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,832
2,000
Kiukweli hii serikali haiko serous na vijana wanaolia na ujobless. Hata mie ni miongoni mwa wanaosubiria hizo nafasi zilizo baki.
 
Top Bottom