Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,254
- 21,275
Kabla machozi ya Kagera hayajakauka vizuri limetokea like la lucky vicent, kimsingi kilichotokea sio siri.
Sasa ukitafakari kwa akili ya kiwango tu cha changarawe Ni kwamba Serikali yetu imekwama kifedha inahitaji msaada, kufeli kwa zaidi ya 60%ya bajeti ya 2016/2017 sababu kubwa Ni ukosefu wa pesa ndio sababu pesa zozote zinazojitokeza basi mate yanaitoka serikali maana muda unakimbia na Ilani haitekelezeki.
Imefika mahala Baba anachukua chakula cha watoto na kukila mwenyewe, kikawaida watoto hula chakula cha Baba Ila ikitokea kinyume basi ujue Mzee kakwama anahitaji msaada, na sikuzote watoto wanaojielewa NI LAZIMA wamsaidie mzazi/wazazi kuwavusha mahali ambapo pana mkwamo.
Hivyo natoa wito kwenu Wazalendo wa nchi hii tumchangie Rais na serikali yake ili matatizo yakitokea na michango ikapatikana asichukue pesa hizo, yote kwa yote Ni katika kusaidiana kumpunguzia ZIGO tulilomtwika.
Mwisho natoa RAI kwenye MICHANGO YA SERENGETI BOYS, hala hala jamani, kidole na macho!!!! Tusijekusikia mchango huu umepelekwa "kirumba" kukarabati uwanja na kununua nyasi bandia", na ili kuepuka hili Basi mapema kadri iwezekanavyo tumchangie Rais ili hizi pesa za Serengeti zisiingie kwenye BAJETI ya serikali. Napendekeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ndie apokee michango hiyo.