Tumbo kucheza upande wa kushoto nini tatizo

Habari za wakati huu...

Naombeni ushauri Leo ni siku ya tatu tumbo linanicheza kwa ndani upande wa kushoto chini ya kitovu na sina maomivu yeyote na sijawahi kuugua ugonjwa wowote watumbo, vakula ni navyotumia ni ugali na mboga za majani, matunda na dagaa, Jinsia ni mwanaume..

Asanteni
Dagaaa unaokula wanacheza sasa walikua wazima hao hawajafa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom