Tumbo kuuma

taupe

Member
Apr 9, 2011
5
0
Mwanangu ana miezi miwili ila tumbo ina musumbua, katumia shubili ila bado ina uma na omba msada.
 
kubemenda mbemendee nyie, shida mtupe sisi, tunamambo yakufanya bhana na mengine ya chadema yanatumiza kichwa, mnatuchosha!!!!
 
Hebu mpeleke hospitali akaangaliwe na daktari. Mtoto bado ni mdogo sana sio wa kupewa ushauri humu. Kingine unamtoa gesi baada ya kumnyonyesha?
 
Hilo tumbo linauma wakati gani?anasumbuliwa na hewa kwenye tumbo/kujamba?Anapata choo kama kawaida?
 
Back
Top Bottom