T taupe Member Apr 9, 2011 5 0 Dec 11, 2013 #1 Mwanangu ana miezi miwili ila tumbo ina musumbua, katumia shubili ila bado ina uma na omba msada.
chaboo Member Dec 11, 2013 78 26 Dec 11, 2013 #2 kubemenda mbemendee nyie, shida mtupe sisi, tunamambo yakufanya bhana na mengine ya chadema yanatumiza kichwa, mnatuchosha!!!!
kubemenda mbemendee nyie, shida mtupe sisi, tunamambo yakufanya bhana na mengine ya chadema yanatumiza kichwa, mnatuchosha!!!!
M Mkempia JF-Expert Member Mar 5, 2013 1,142 456 Dec 11, 2013 #3 Hebu mpeleke hospitali akaangaliwe na daktari. Mtoto bado ni mdogo sana sio wa kupewa ushauri humu. Kingine unamtoa gesi baada ya kumnyonyesha?
Hebu mpeleke hospitali akaangaliwe na daktari. Mtoto bado ni mdogo sana sio wa kupewa ushauri humu. Kingine unamtoa gesi baada ya kumnyonyesha?
concious mind JF-Expert Member Jun 27, 2012 984 580 Dec 11, 2013 #4 Kama wampenda mwanao nenda hospital aonwe na dr
Heaven on Earth JF-Expert Member Mar 21, 2013 37,226 26,639 Dec 11, 2013 #5 chaboo said: kubemenda mbemendee nyie, shida mtupe sisi, tunamambo yakufanya bhana na mengine ya chadema yanatumiza kichwa, mnatuchosha!!!! Click to expand... Sio lazima uchangie wewe.ka huna cha kuongea soma mawazo ya wenzako
chaboo said: kubemenda mbemendee nyie, shida mtupe sisi, tunamambo yakufanya bhana na mengine ya chadema yanatumiza kichwa, mnatuchosha!!!! Click to expand... Sio lazima uchangie wewe.ka huna cha kuongea soma mawazo ya wenzako
Gorgeousmimi JF-Expert Member Jun 21, 2010 9,296 7,666 Dec 12, 2013 #8 Hilo tumbo linauma wakati gani?anasumbuliwa na hewa kwenye tumbo/kujamba?Anapata choo kama kawaida?