Tumalize utata kwanini Yanga ni bingwa mara 27

USHINDI WA BARA NI NINI? TUNAZUNGUMZIA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA AKA NBC PREMIER LEAGUE
Kipi hicho hakukua na NBC mfumo huo umekuja baada ya TFF. Ndio maana Yanga hawajaweka hivyo vitu unavyovisema maana havikuwa na makombe. Rejea hapa:-
Screenshot_20220115-185247.png


Hata hivyo ukihesabu ushindi wa Tanzania bara haufiki 27. Je, hiyo 27 umeitoa wapi!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom