Tumaini university yabadili rasmi jina la chuo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumaini university yabadili rasmi jina la chuo!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Prince Hope, Jul 23, 2012.

 1. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Tumaini University imebadili rasmi jina lake. Sasa kitatambulika kama Tumaini Makumira University. Pia campus kuu itakuwa Usa River Arusha.

  Je, kwa hatua hii ubora wa elimu utaongezeka? Au nini agenda nyuma ya uamuzi huu?

  Source: Mwananchi ya leo
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Tumaini ziko nyingi sasa ipi imebadilisha au ile ya Arusha??Moshi au?
   
 3. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Tumaini Makumira (Arusha) ndiyo campus kuu, so vyuo vishiriki ni:
  Dar collage, Stefano Moshi, Iringa, kcmc na sebastian kolowa.
   
 4. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  ubora wa elimu haubadilishwi kwa jina, ni uboreshaji wa mitaala, kuweka walimu wenye sifa husika na uzoefu kazini, mazingira safi yakusomea and the like.. kwani Tanzania tukibadili jina la nchi ndo ubora wa nchi utabadilika???
   
 5. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Una data na majengo au?!. Acha kupost v2 usivyovielewa. Tumaini Iringa ndio main campus.
   
 6. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,205
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hakuna mahusiano yoyote kati ya kubadilisha jina na maendeleo ya elimu.
   
 7. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,205
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hapana main campus ni Tumaini makumira university.
   
 8. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,724
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Naamini inaweza kuwa mbinu za kibiashara. Katiak biashara, ikiwa kampuni haina mvuto kwa wateja huwa inabadilishwa jina na baadhi ya vitendea kazi, kisha matangazo na ofa nyingi hutangazwa.
   
Loading...