Tumaini University, mradi wa kanisa unaowaibia Watanzania- Hawafundishi

hsigira

Member
Nov 23, 2010
8
0
Nimesikitishwa sana kusikia kuwa Ndani ya Tumaini University kurasini campas wahadhiri hawaingii madarasani. huu ukiwa ni mradi wa kanisa, je kanisa lina la kutuambia? Je, pesa yetu waliyopokea tena 2,500,000 kwa mwaka ni kwa ajili ya nini? Je, wizara haioni utaratibu wowote wa kuifunga kampasi hiyo?
 
Poleni sana jamani.kwa mtindo huu sitashangaa nikisikia tution za elimu ya chuo zinaanzishwa ili kusaidia vyuo vyenye matatizo ya walimu.
 
hsigira
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-offline.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateTue Nov 2010Posts1Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power0kanisa mmeliuliza? umesikia au na wewe ni mwahirika wa hii hali?

funguka, uko na great thinkers
 
Poleni sana jamani.kwa mtindo huu sitashangaa nikisikia tution za elimu ya chuo zinaanzishwa ili kusaidia vyuo vyenye matatizo ya walimu.
muzee mwaka 2006 pale mlimani tulikuwa na wanafunzi wa open university na vyuo vikuu vinginevyo tumaini included waliokuwa wanavamia lectures sijui kama utaratibu huo bado unaendelea impliedly hizo ndizo tuisheni zenyewe mekuu changamka aisee!
 
huu ukiwa ni mradi wa kanisa, je kanisa lina la kutuambia?

Mkuu naona umekaa ki itikadi itikadi, kwa nini usiseme "je uongozi wa chuo una la kutuambia?"
sidhani kama kwa mfano wahadhiri wa UDSM wasipoingia darasani utaanza kuilaumu Serikali (inayomiliki UDSM) bali utalaumu uongozi wa chuo kwa kutowawajibisha Wahadhiri wasioingia.
 
Mkuu naona umekaa ki itikadi itikadi, kwa nini usiseme "je uongozi wa chuo una la kutuambia?"
sidhani kama kwa mfano wahadhiri wa UDSM wasipoingia darasani utaanza kuilaumu Serikali (inayomiliki UDSM) bali utalaumu uongozi wa chuo kwa kutowawajibisha Wahadhiri wasioingia.

Naona mtoa mada amejaribu kuwashitaki kwa wakuu zaidi.
Ni kawaida kwa mtu asiendendewa haki.
 
Hili jambo linaonyesha kuwa la KIUTAWALA ZAIDI, sawa na alivyoambiwa ZITTO KABWE kule Indonasia kwamba asilisambaratishe taifa lake na wewe JF inakushauri urudi kwa uongozi mkayamalize. Si jambo la kawaida chuo kisajili wanafunzi halafu kisitoe mafunzo.

Hata hivyo, tangu Vyuo vikuu vifungue tena mara baada ya ratiba ya uchaguzi mkuu kwisha hadi sasa bado hairidhishi sana mwanafunzi kutoa malalamiko kama hayo ya kwako.

Hata hivyo usijali SUPERMAN atafika hapo kwa wakati wake kwa niaba ya JF kutafuta ukweli. Angalia yasije yakakurudi kama yule kijana wa UDOM, hapo sio kukunyima uhuru wa kuongea bali ni kukutahadharisha tu kwamba JF huwa hawashiriki majungu au mtu kuwajaribu uwezo wao wa kufikiri.
 
Nakuona una agenda ya kulichafua KANISA na wala sio kutatua tatizo linalowakabili. Hufai kuwa msomi. Si ndiyo
 
lakini kuna ukweli hata kama jamaa ana negative attitude na kanisa !chuo hiki ndio kinachoongoza kwa ada tz1halafu bado tunatoa sadaka kuchangia .....mimimhuwa sitoi! waulize wanafunzi wanaosoma pale .Tatizo wanakipelekesha sana ukuaji wake ,kila taasisi ya KKKT wanataka iwe chuo kikuu....subiri Kiomboi medical university NA KiNAMPANDA UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION! Ni muhimu kanisa likapunguza kasi hii ya upanuzi wa chuo ....waangalie kwanza ubora
 
Hivi Malaysia ndio Indonesia?

Asante sana Mheshimiwa Ndibalema kwa kunikosa hapo juu. Ukweli nilimaanisha kuandika Malaysia na wala si Indonasia.

Nadhani nilizama zaidi kwenye kujaribu kusikiliza sana huyu dogo wa Tumani University, nikagundua kaarufu ka UNAFIKI kwenye koo yake kisha nikaanza kurukwa akili kwenye kumjibu huko mtu mwenye dalili hizo.

Sote tunakumbuka vyuo vyote kufungwa karibu mwezi mzima kabla ya uchaguzi mkuu. Na tangu vifungue tena wala sijaona mantiki yoyote mtu mkweli kuweza kupeleka malamiko yake mtandaoni. Kajaribu lini kutafuta majibu ndani kwao huko hadi ikashindikana kiasi cha kumfanya akimbilie JF???
 
Ikifungwa utasoma wapi lakini.. au unafkiri solution ya kila jambo ni kufunga tu' kalaghabao!!
 
Unachosema ni kweli, problem ni kwamba, chuo kimeajiri aged staff peke yake kiasi kwamba kwa lugha ya kitaalam hakuna 'diversity', hii inakisumbua sana chuo.
 
Nimesikitishwa sana kusikia kuwa Ndani ya Tumaini University kurasini campas wahadhiri hawaingii madarasani. huu ukiwa ni mradi wa kanisa, je kanisa lina la kutuambia? Je, pesa yetu waliyopokea tena 2,500,000 kwa mwaka ni kwa ajili ya nini? Je, wizara haioni utaratibu wowote wa kuifunga kampasi hiyo?
kASOME mUSLIM uNIVERSITY mOROGORO. wALIMU WANAINGIA DARASANI KILA BAADA YA DK 40
 
Back
Top Bottom