Tumaini langu la mwisho lipo humu ninaomba mnisaidie

Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
800
Points
1,000
Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2016
800 1,000
Nimekwama kuendelea na chuo kutokana na ukosefu wa ada .

Sasa hii hali sitaki tena ijirudie hata nikirudi tena chuoni ,hivyo suluhisho pekee nililoliona ni kufanya biashara.

Biashara ambazo zipo kichwani kwangu ni mbili ambazo ni;

1)Biashara ya grocery ambayo itajumuisha chipsi na nyama choma.

2)Vifaa vya simu,urembo wa kike ikiwemo saa na hereni, pamoja na kuuza vocha za rejareja .

Mtaji wa biashara ya kwanza kidogo ni mkubwa japo niliomba vifaa used ambavyo watu watakuwa hawavitumii wanisaidie nianzie navyo biashara.

Miongoni mwa hivyo vifaa ni pamoja na meza,viti,friji, pamoja na kikabati cha chipsi.

Hii ilionekana ni ngumu hivyo nika opt biashara ya pili ambayo ni vifaa vya simu,vocha na urembo ambapo mtaji wake kwa kuanzia ni laki tatu na nusu ambapo nilipanga kuanza na maboksi matano ya protector kila boksi moja linakaa protectors kumi hivyo maboksi matano inamaana yatatoa protectors hamsini na bei ya boksi moja ni shilingi elfu 7.

Mbali na protector, nilipanga nianze na chaja kumi,usb kumi, makava hamsini ya urembo na makava 20 autofocus.

Mbali na vifaa vya simu nilipanga kuanza na urembo pamoja na vocha.

Kibanda cha kuuzia hivyo vitu kipo nilipewa ofa tangu zamani na rafiki yangu kwa kuwa yeye ana vibanda vitatu kimoja kipo tu hakitumii.

Sina tegemeo jingine lolote zaidi yenu ,ninaomba mnisaidie kunichangia mtaji nifanye biashara nipate ada nirudi chuo pia kupitia biashara hii hii inisaidie tena kulipa ada kwa mihula inayofuatia .

Account yangu ya crdb ni hii 0152557370900 ninaomba unichangie chochote ulichobarikiwa.
 
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
2,635
Points
2,000
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2016
2,635 2,000
Namba ya simu kuweka ni risk sana,labda kwa pm.
Mkuu wewe nimuhitaji so usiangalie hayo alafu kingine kwani wewe unamandokando kule kwenye jukwaa lakina kigogo2014 hadi uogope kuweka namba yako hapa au huko pm mmbaya wako awezi kukufata huko nakukuomba namba?
 
Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
800
Points
1,000
Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2016
800 1,000
Uko sahihi mkuu, ngoja niiweke namba ya simu.
Mkuu wewe nimuhitaji so usiangalie hayo alafu kingine kwani wewe unamandokando kule kwenye jukwaa lakina kigogo2014 hadi uogope kuweka namba yako hapa au huko pm mmbaya wako awezi kukufata huko nakukuomba namba?
 
mvuv

mvuv

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
2,396
Points
2,000
mvuv

mvuv

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
2,396 2,000
Kipindi fulani nilipotoka tu kumaliza UE ya mwaka wa tatu semester ya mwisho maisha yalinibana lakini nilikuwa na simu HUAWEI Y530 na Laptop TOSHIBA yenye HDD 500 na RAM 4 GB lakini nilikuwa naona haviwez kutosha kutoa hela ya mtaji kwa hiyo nikaendelea kuzubaa tu mtaani na kushinda fb.

Baadae mambo yakawa magum zaid na matokeo yangu ya UE yakatoka nikawa na SUP moja , kumbuka ni UE ya mwisho kabisa na matokeo hayo yalinikuta nikiwa Mbeya ilihali chuo ni kaskazin huko.

ikanibid niuze PC ili nikafanye SUP. kwa kuwa nilipata kahela kakubwa maana nakumbuka niliuza PC 430,000 nilikaa sana huko kaskazin nikiila ile hela.

Niliporudi home ilikuwa 2017 hiyo mambo yakawa tight zaid had visuruali vyote nilivyonunua kwa hela ya boom vikawa vimepauka hatar.

Sikuwa na namna tena ikabidi niuze simu nianze kujishughulisha na inshu fulani na sikujali tena kama nina degree au certificate nikapiga zangu mishe mambo yakawa afadhar baada ya kama miez mitatu nikanunua TECNO w4 lakini saizi natumia SAMSUNG A8.

Hapa ninachomaanisha ni kuwa mkuu Naja naja utapoteza muda tu hapa cha muhimu anza na ulichonacho bila kujali ukubwa au udogo wake. angalia mtaji wako kisha buni biashara inayoweza kufanikishwa na mtaji huo.
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
16,778
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
16,778 2,000

Hongera sana best...huo ndo uthubutu...!ukiamua kila kitu kinawezekana
 
K

Kigorohe

Member
Joined
May 21, 2019
Messages
46
Points
125
K

Kigorohe

Member
Joined May 21, 2019
46 125
Mkuu hapo unayumba. Ni kwambie tu ukweli mtaji inatakiwa utafute wewe mwenyewe kwa sababu, ukitafuta mwenyewe utauwekea malengo. Kuna watu tupo humu tulikuwa na maisha magumu sana lkn tukachukua maamuzi. Japokuwa sijatoboa sana lakini maisha nayamudu kwa kufanya kazi kwa nguvu zote.

Ila kingine cha msingi zaidi, hakuna mtu mwenye fursa za kibiasha kama mwanafunzi wa chuo. Kwa sababu mwanachuo anahitaji notes, kupendeza, kula vzuri, kuonesha alipo (picha), ushauri n.k. Sasa nashangaa unasema umeacha chuo kwa kukoswa ada. Piga harakati kadri ya uwezo wako. Angalia wapi ambapo watu ni wavivu mfono kwenye kuandika notes watu huwa watu hawaandika. Jaribu kuandaa handout then uza. Vitu vipo vingi mno

Kwa ushauri wa biashara mambo mengine nichek pm
 
Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
800
Points
1,000
Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2016
800 1,000
Mdogo wangu hujapata chochote bado?
Kuna mtu ameniahidi vyombo kadhaa vya kuanzia ,mwingine ameniahidi gunia mwingine ameniahidi ndoo ya mafuta.

Mkuu sijajua kwa upande wako, nisaidie chochote kilichondani ya uwezo wako.
 
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
16,091
Points
2,000
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
16,091 2,000
Kuna mtu ameniahidi vyombo kadhaa vya kuanzia ,mwingine ameniahidi gunia mwingine ameniahidi ndoo ya mafuta.

Mkuu sijajua kwa upande wako, nisaidie chochote kilichondani ya uwezo wako.
Mimi nilitaka nikushauri uanze na hicho kidogo ulichopata. Kama umepata pesa kidogo anza nayo si lazima ukamilishe unayoitaka.
 
Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
800
Points
1,000
Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2016
800 1,000
Mawazo na mchanganuo wa biashara mbalimbali kichwani yapo mengi sana, changamoto kubwa ni mtaji.
 
M

MjasiriamaliElimu

Senior Member
Joined
Nov 21, 2013
Messages
117
Points
225
M

MjasiriamaliElimu

Senior Member
Joined Nov 21, 2013
117 225
Nimekwama kuendelea na chuo kutokana na ukosefu wa ada .

Sasa hii hali sitaki tena ijirudie hata nikirudi tena chuoni ,hivyo suluhisho pekee nililoliona ni kufanya biashara.

Biashara ambazo zipo kichwani kwangu ni mbili ambazo ni;

1)Biashara ya grocery ambayo itajumuisha chipsi na nyama choma.

2)Vifaa vya simu,urembo wa kike ikiwemo saa na hereni, pamoja na kuuza vocha za rejareja .

Mtaji wa biashara ya kwanza kidogo ni mkubwa japo niliomba vifaa used ambavyo watu watakuwa hawavitumii wanisaidie nianzie navyo biashara.

Miongoni mwa hivyo vifaa ni pamoja na meza,viti,friji, pamoja na kikabati cha chipsi.

Hii ilionekana ni ngumu hivyo nika opt biashara ya pili ambayo ni vifaa vya simu,vocha na urembo ambapo mtaji wake kwa kuanzia ni laki tatu na nusu ambapo nilipanga kuanza na maboksi matano ya protector kila boksi moja linakaa protectors kumi hivyo maboksi matano inamaana yatatoa protectors hamsini na bei ya boksi moja ni shilingi elfu 7.

Mbali na protector, nilipanga nianze na chaja kumi,usb kumi, makava hamsini ya urembo na makava 20 autofocus.

Mbali na vifaa vya simu nilipanga kuanza na urembo pamoja na vocha.

Kibanda cha kuuzia hivyo vitu kipo nilipewa ofa tangu zamani na rafiki yangu kwa kuwa yeye ana vibanda vitatu kimoja kipo tu hakitumii.

Sina tegemeo jingine lolote zaidi yenu ,ninaomba mnisaidie kunichangia mtaji nifanye biashara nipate ada nirudi chuo pia kupitia biashara hii hii inisaidie tena kulipa ada kwa mihula inayofuatia .

Account yangu ya crdb ni hii 0152557370900 ninaomba unichangie chochote ulichobarikiwa.
Hizo aina ya biashara unaweza kuchelewa.Anza na hii au mtafute kijana aanze na hii.Tafuta kama 150,000/-nunua vifaa vya kusafishia kucha za wadada na kupaka rangi.Kisha tafuta centre nzuri kama vile Mlimani City au kwingineko na panga siku moja ukajifunze pale Makumbusho stendi kama upon Dar.Vijana kama 10 wamejiajiri kwa hii biashara haihitaji kuchangiwa mapesa mengi na haikuzuii kufanya biashara zako nyingine.
 
October man

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
1,688
Points
2,000
October man

October man

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2017
1,688 2,000
Hizo aina ya biashara unaweza kuchelewa.Anza na hii au mtafute kijana aanze na hii.Tafuta kama 150,000/-nunua vifaa vya kusafishia kucha za wadada na kupaka rangi.Kisha tafuta centre nzuri kama vile Mlimani City au kwingineko na panga siku moja ukajifunze pale Makumbusho stendi kama upon Dar.Vijana kama 10 wamejiajiri kwa hii biashara haihitaji kuchangiwa mapesa mengi na haikuzuii kufanya biashara zako nyingine.
Interesting, Naja naja njoo ufanye hii nitashilikiana na wewe maana mimi mwenyewe nimeomba ajira naona zero response, business partnership no response, tuzame humu mzee.
 
Forum statistics

Threads 1,313,896
Members 504,678
Posts 31,807,460
Top