Tumaini langu la mwisho lipo humu ninaomba mnisaidie

Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
800
Points
1,000
Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2016
800 1,000
Nimekwama kuendelea na chuo kutokana na ukosefu wa ada .

Sasa hii hali sitaki tena ijirudie hata nikirudi tena chuoni ,hivyo suluhisho pekee nililoliona ni kufanya biashara.

Biashara ambazo zipo kichwani kwangu ni mbili ambazo ni;

1)Biashara ya grocery ambayo itajumuisha chipsi na nyama choma.

2)Vifaa vya simu,urembo wa kike ikiwemo saa na hereni, pamoja na kuuza vocha za rejareja .


Mtaji wa biashara ya kwanza kidogo ni mkubwa japo niliomba vifaa used ambavyo watu watakuwa hawavitumii wanisaidie nianzie navyo biashara.

Miongoni mwa hivyo vifaa ni pamoja na meza,viti,friji, pamoja na kikabati cha chipsi.

Hii ilionekana ni ngumu hivyo nika opt biashara ya pili ambayo ni vifaa vya simu,vocha na urembo ambapo mtaji wake kwa kuanzia ni laki tatu na nusu ambapo nilipanga kuanza na maboksi matano ya protector kila boksi moja linakaa protectors kumi hivyo maboksi matano inamaana yatatoa protectors hamsini na bei ya boksi moja ni shilingi elfu 7.

Mbali na protector, nilipanga nianze na chaja kumi,usb kumi, makava hamsini ya urembo na makava 20 autofocus.

Mbali na vifaa vya simu nilipanga kuanza na urembo pamoja na vocha.

Kibanda cha kuuzia hivyo vitu kipo nilipewa ofa tangu zamani na rafiki yangu kwa kuwa yeye ana vibanda vitatu kimoja kipo tu hakitumii.

Sina tegemeo jingine lolote zaidi yenu ,ninaomba mnisaidie kunichangia mtaji nifanye biashara nipate ada nirudi chuo pia kupitia biashara hii hii inisaidie tena kulipa ada kwa mihula inayofuatia .


Account yangu ya crdb ni hii 0152557370900 ninaomba unichangie chochote ulichobarikiwa.
 
D

dikir kab can

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2018
Messages
857
Points
1,000
D

dikir kab can

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2018
857 1,000
Ninaomba mnisaidie mtaji, maana ninahangaika pia kutafuta vibarua huku na huku bila mafanikio japo kuna wana jf kama wanne walikuja na mawazo yao kunishauri.

Mmoja alinishauri kuhusu biashara ya chiaseeds ambapo nayo inahitaji mtaji na uzoefu wa kugundua ipi original na ipi fake.

Mwingine akanishauri kuhusu mambo ya network marketing.

Mwingine akanishauri kuhusu network marketing lakini akaniambia kwanza nizunguke mahotelini kuwaambia nitawaletea wateja wa kizungu lakini kwa sharti la kunipa commission halafu akaniambia nikashazunguka nimtafute aniunganishe na hao wazungu jambo ambalo nikahisi ninaweza nikaingia kwenye mtego nikaonekana tapeli hivyo nikafunguliwa mashtaka.

Mwingine akanishauri niende nzega nikamsaidie kazi za kuchimba madini jambo ambalo nimeliogopa kwa sababu niliwahi kusikia kwenye migodi watu wanatolewaga makafara ili madini yapatikane.


Nipo dilemma kwa sasa, sina kazi, sina mtaji.
kuna wale walikushauri kuhusu kuuza maji au biashara ya kuchoma mahindi umefikiria vipi kuhusu hilo ukizingatia zinahitaji mtaji mdogo?
 
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Messages
2,154
Points
2,000
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2014
2,154 2,000
Huyu jamaaa angenishika na mimi!
Yaani waliotapeliwa siwalaumu aiseeh...
Nyente ni katili na msanii
Kweli kabisa yule jamaa ana roho ngumu sana. Kuna jamaa walianza kufukua makaburi yake mwanzo kabisa wa mchezo kama sijakosea akiwemo mkuu Ushimen (sina uhakika na huyu mkuu) nikashtuka na hii drama otherwise hata buku yangu angepita nayo huyu kibaka.
 
October man

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
1,688
Points
2,000
October man

October man

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2017
1,688 2,000
Kwa hiyo anataka iwe ya moja kwa moja?
Huu nliotaja mie ni mwanzo tu.akifanikiwa kukuza mtaji anahamia huko juu.
Hiyo ndio logic nayoshindwa kumuelewa, akiambiwa auze karanga..maji ni njia ya kutafuta mtaji wa biashara unayoifocus, Mimi nimefungua kistudio ila ni njia ya kutengeneza mtaji ni step kwengine..kwengine na kwengine.
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
8,242
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
8,242 2,000
Hili mimi nimeshamshauri tangu nyuzi zake za kwanza na naendelea kumsisitiza tena. Aanze na biashara ya mtaji mdogo kabisa.


Lakini yeye anaona warembo mtamcheka. Anaona anashusha hadhi yake.
Kijana mwenzangu naomba nkishauri kitu.jitahidi kutafuta biashara zinazoanzia na mtaji mdogo zaidi.unaweza hata kuuza matunda mchanganyiko kwa laki moja.

Wale mwenzio waliosamama kwenye Mesa stendi za magari unakuta kamenya nanasi kalikata vipandw kama kumi.tikiti,machungwa.wana maisha wanaendesha.
Ni maisha yako hayo.usione aibu.
Tafuta Yale mahitaji ambayo yatakua ya lazima na yanatoka kwa haraka ili ukisanye ada kwa haraka.we unadhani phone covers ni hitaji la kila siku kama chakula?
Biashara ya chips bado utahitajika kitambulisho cha machinga,na itachukua mda kuvuta wateja waje kwako..
 
Desire Dizaya

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
6,338
Points
2,000
Desire Dizaya

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2015
6,338 2,000
Hili mimi nimeshamshauri tangu nyuzi zake za kwanza na naendelea kumsisitiza tena. Aanze na biashara ya mtaji mdogo kabisa.


Lakini yeye anaona warembo mtamcheka. Anaona anashusha hadhi yake.
Tatizo huo usomi unamzuzua.mwambie wenzie wamegraduate hapa mtaani miaka mitatu sasa bado ajira wanaziota.
 
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
16,088
Points
2,000
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
16,088 2,000
Kwa nini asifanye mkuu
Yaani apate laki 3 tena ya kusaidiwa afanye network marketing? Sio rahisi kufanikiwa kwa kufanya hiyo kazi, sijawahi ona aliyefanikiwa. May be aje kufanya akishakuwa financially stable lkn sio sasa. Tuwe wakweli. Network marketing ni miyeyusho
 
KYALOSANGI

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Messages
2,383
Points
2,000
KYALOSANGI

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2011
2,383 2,000
Ninaomba mnisaidie mtaji, maana ninahangaika pia kutafuta vibarua huku na huku bila mafanikio japo kuna wana jf kama wanne walikuja na mawazo yao kunishauri.

Mmoja alinishauri kuhusu biashara ya chiaseeds ambapo nayo inahitaji mtaji na uzoefu wa kugundua ipi original na ipi fake.

Mwingine akanishauri kuhusu mambo ya network marketing.

Mwingine akanishauri kuhusu network marketing lakini akaniambia kwanza nizunguke mahotelini kuwaambia nitawaletea wateja wa kizungu lakini kwa sharti la kunipa commission halafu akaniambia nikashazunguka nimtafute aniunganishe na hao wazungu jambo ambalo nikahisi ninaweza nikaingia kwenye mtego nikaonekana tapeli hivyo nikafunguliwa mashtaka.

Mwingine akanishauri niende nzega nikamsaidie kazi za kuchimba madini jambo ambalo nimeliogopa kwa sababu niliwahi kusikia kwenye migodi watu wanatolewaga makafara ili madini yapatikane.


Nipo dilemma kwa sasa, sina kazi, sina mtaji.
wanatolewaga makafara ili madini yapatikane !? Kama woga wako upo sahihi basi kusingekuwa na wachimba madini!
 
joely sandu

joely sandu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Messages
1,774
Points
2,000
joely sandu

joely sandu

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2017
1,774 2,000
Hahahahaha sio miyeyusho bhana
Yaani apate laki 3 tena ya kusaidiwa afanye network marketing? Sio rahisi kufanikiwa kwa kufanya hiyo kazi, sijawahi ona aliyefanikiwa. May be aje kufanya akishakuwa financially stable lkn sio sawa. Tuwe wakweli. Network marketing ni miyeyusho
 
Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
800
Points
1,000
Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2016
800 1,000
Msaada wenu wakuu, ninaomba mnichangie chochote mlichobarikiwa.

Account yangu ni hii 0152557370900 crdb.
 
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
2,635
Points
2,000
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2016
2,635 2,000
Msaada wenu wakuu, ninaomba mnichangie chochote mlichobarikiwa.

Account yangu ni hii 0152557370900 crdb.
Utachelewa sana mkuu kupata huo msaada unaotaka upitie kwenye akaunt yabank Kwann usiweke namba yako ya tigo pesa, au M pesa au airtel money nk
 

Forum statistics

Threads 1,313,893
Members 504,678
Posts 31,807,369
Top