Tumaini langu la mwisho lipo humu ninaomba mnisaidie

Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
800
Points
1,000
Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2016
800 1,000
Nimekwama kuendelea na chuo kutokana na ukosefu wa ada .

Sasa hii hali sitaki tena ijirudie hata nikirudi tena chuoni ,hivyo suluhisho pekee nililoliona ni kufanya biashara.

Biashara ambazo zipo kichwani kwangu ni mbili ambazo ni;

1)Biashara ya grocery ambayo itajumuisha chipsi na nyama choma.

2)Vifaa vya simu,urembo wa kike ikiwemo saa na hereni, pamoja na kuuza vocha za rejareja .

Mtaji wa biashara ya kwanza kidogo ni mkubwa japo niliomba vifaa used ambavyo watu watakuwa hawavitumii wanisaidie nianzie navyo biashara.

Miongoni mwa hivyo vifaa ni pamoja na meza,viti,friji, pamoja na kikabati cha chipsi.

Hii ilionekana ni ngumu hivyo nika opt biashara ya pili ambayo ni vifaa vya simu,vocha na urembo ambapo mtaji wake kwa kuanzia ni laki tatu na nusu ambapo nilipanga kuanza na maboksi matano ya protector kila boksi moja linakaa protectors kumi hivyo maboksi matano inamaana yatatoa protectors hamsini na bei ya boksi moja ni shilingi elfu 7.

Mbali na protector, nilipanga nianze na chaja kumi,usb kumi, makava hamsini ya urembo na makava 20 autofocus.

Mbali na vifaa vya simu nilipanga kuanza na urembo pamoja na vocha.

Kibanda cha kuuzia hivyo vitu kipo nilipewa ofa tangu zamani na rafiki yangu kwa kuwa yeye ana vibanda vitatu kimoja kipo tu hakitumii.

Sina tegemeo jingine lolote zaidi yenu ,ninaomba mnisaidie kunichangia mtaji nifanye biashara nipate ada nirudi chuo pia kupitia biashara hii hii inisaidie tena kulipa ada kwa mihula inayofuatia .

Account yangu ya crdb ni hii 0152557370900 ninaomba unichangie chochote ulichobarikiwa.
 
barikiwa

barikiwa

Senior Member
Joined
Dec 4, 2018
Messages
119
Points
250
barikiwa

barikiwa

Senior Member
Joined Dec 4, 2018
119 250
Mkuu, Ni vigumu Sana kuomba kupata msaada wa biashara ukiwa nyuma ya keyboard

Mtaani unapoishi huna watu wanaokufahamu? Hakuna watu watu wanaweza kukupa pesa za mtaji hata Kama za riba

Ushauri, kejeli & masimango tu utaambulia huku na sii msaada

kabla ya kuomba msaada Anza kujisaidia wewe mwenyewe hapo ulipo, Ulimwengu utakuletea watu wa kukusapoti through law of attraction

Anza hata kuuza karanga utafika mbali na sio kulia Lia Kila siku nyuma ya keyboard, Kama umasikini ndio unaukaribisha Kama hujui
 
Ndachuwa

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Messages
5,235
Points
2,000
Ndachuwa

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2006
5,235 2,000
Nimekwama kuendelea na chuo kutokana na ukosefu wa ada .

Sasa hii hali sitaki tena ijirudie hata nikirudi tena chuoni ,hivyo suluhisho pekee nililoliona ni kufanya biashara.

Biashara ambazo zipo kichwani kwangu ni mbili ambazo ni;

1)Biashara ya grocery ambayo itajumuisha chipsi na nyama choma.

2)Vifaa vya simu,urembo wa kike ikiwemo saa na hereni, pamoja na kuuza vocha za rejareja .

Mtaji wa biashara ya kwanza kidogo ni mkubwa japo niliomba vifaa used ambavyo watu watakuwa hawavitumii wanisaidie nianzie navyo biashara.

Miongoni mwa hivyo vifaa ni pamoja na meza,viti,friji, pamoja na kikabati cha chipsi.

Hii ilionekana ni ngumu hivyo nika opt biashara ya pili ambayo ni vifaa vya simu,vocha na urembo ambapo mtaji wake kwa kuanzia ni laki tatu na nusu ambapo nilipanga kuanza na maboksi matano ya protector kila boksi moja linakaa protectors kumi hivyo maboksi matano inamaana yatatoa protectors hamsini na bei ya boksi moja ni shilingi elfu 7.

Mbali na protector, nilipanga nianze na chaja kumi,usb kumi, makava hamsini ya urembo na makava 20 autofocus.

Mbali na vifaa vya simu nilipanga kuanza na urembo pamoja na vocha.

Kibanda cha kuuzia hivyo vitu kipo nilipewa ofa tangu zamani na rafiki yangu kwa kuwa yeye ana vibanda vitatu kimoja kipo tu hakitumii.

Sina tegemeo jingine lolote zaidi yenu ,ninaomba mnisaidie kunichangia mtaji nifanye biashara nipate ada nirudi chuo pia kupitia biashara hii hii inisaidie tena kulipa ada kwa mihula inayofuatia .

Account yangu ya crdb ni hii 0152557370900 ninaomba unichangie chochote ulichobarikiwa.
Siamini sana katika mtaji wa kupewa.

Naamini mtaji unapatikana kwa kufanya kazi, Kile unacholipwa unatumia kiasi na kiasi kingine unaweka akiba. Baada ya akiba kuwa kubwa ndio unatumia kuanzishia biashara. NI rahisi kukopa kupanua biashara yako kuliko kuomba mtu akupe msaada wa kuanzisha biashara mpya ambayo hujawahi kuifanya.

Hizo chips na nyama choma nani atakuwa jiko wakati hata chuma za kuwekea hiyo mishikaki huna?
 
Zuriel_cfc

Zuriel_cfc

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
3,576
Points
2,000
Zuriel_cfc

Zuriel_cfc

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
3,576 2,000
Utakapoamua kutoka kwny "ur comfort zone" na kujiona kweli una uhitaji na hakuna yeyote anayeweza kukusaidia zaidi yako mwenyewe, na kuacha kuchagua kazi au shughuli ya kufanya, na kuamua kufanya chochote cha halali ili malengo yako yatimie.... hapo ndo utakuwa umeuaga umasikini na kuanza rasmi safar ya mafanikio...

Chukua hatua dogo, hata tuliomo humu tuna hali mbaya pengine kukuzidi wewe lkn tumeamua kupambana na kuacha kuomba omba mtandaoni.
 
Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
800
Points
1,000
Naja naja

Naja naja

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2016
800 1,000
Ninaomba mnisaidie mtaji, maana ninahangaika pia kutafuta vibarua huku na huku bila mafanikio japo kuna wana jf kama wanne walikuja na mawazo yao kunishauri.

Mmoja alinishauri kuhusu biashara ya chiaseeds ambapo nayo inahitaji mtaji na uzoefu wa kugundua ipi original na ipi fake.

Mwingine akanishauri kuhusu mambo ya network marketing.

Mwingine akanishauri kuhusu network marketing lakini akaniambia kwanza nizunguke mahotelini kuwaambia nitawaletea wateja wa kizungu lakini kwa sharti la kunipa commission halafu akaniambia nikashazunguka nimtafute aniunganishe na hao wazungu jambo ambalo nikahisi ninaweza nikaingia kwenye mtego nikaonekana tapeli hivyo nikafunguliwa mashtaka.

Mwingine akanishauri niende nzega nikamsaidie kazi za kuchimba madini jambo ambalo nimeliogopa kwa sababu niliwahi kusikia kwenye migodi watu wanatolewaga makafara ili madini yapatikane.

Nipo dilemma kwa sasa, sina kazi, sina mtaji.
 
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
16,088
Points
2,000
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
16,088 2,000
Ninaomba mnisaidie mtaji, maana ninahangaika pia kutafuta vibarua huku na huku bila mafanikio japo kuna wana jf kama wanne walikuja na mawazo yao kunishauri.

Mmoja alinishauri kuhusu biashara ya chiaseeds ambapo nayo inahitaji mtaji na uzoefu wa kugundua ipi original na ipi fake.

Mwingine akanishauri kuhusu mambo ya network marketing.

Mwingine akanishauri kuhusu network marketing lakini akaniambia kwanza nizunguke mahotelini kuwaambia nitawaletea wateja wa kizungu lakini kwa sharti la kunipa commission halafu akaniambia nikashazunguka nimtafute aniunganishe na hao wazungu jambo ambalo nikahisi ninaweza nikaingia kwenye mtego nikaonekana tapeli hivyo nikafunguliwa mashtaka.

Mwingine akanishauri niende nzega nikamsaidie kazi za kuchimba madini jambo ambalo nimeliogopa kwa sababu niliwahi kusikia kwenye migodi watu wanatolewaga makafara ili madini yapatikane.

Nipo dilemma kwa sasa, sina kazi, sina mtaji.
Fanya yote lakini si network marketing. Ni ushauri tu si lazima uufate
 
Forum statistics

Threads 1,313,882
Members 504,678
Posts 31,807,180
Top