Tumaini choir kwa wapenzi wa nyimbo za injili miaka ya 1998

My all time best choir....sidhani kama itakuja tokea kwaya nitakayoisikiliza bila kuichoka kama Hii ya Tumaini hasa album ya shangilieni..sijui ni kwasababu enzi zetu tulikua tukiangalia kanda yake 24/7? sijui ila naamini hizi nyimbo zilikua na Roho mtakatifu ndani yake.
Dunia hii
Sodoma na Gomora
Sikilizeni maneno yake
Siku ya mwisho yaja
Nyimbo hizi ziliburudisha na kufundisha
 
Back
Top Bottom