Tuma ujumbe huu kwa watu kumi, usipuuze

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,789
Uko busy na jambo la muhimu mno, unaingia ujumbe wa maneno kwenye simu yako..! Unafikiri pengine ni pesa imetumwa au unaitiwa dili njema au kuna jambo la dharura
...!unaacha unachokifanya , unachukua simu yako unakutana na msg hii

Tuma msg hii kwa watu kumi utapata baraka miaka kumi au puuzia utapata laana miaka kumi...!

Aaaaaghhhh nani kakwambia baraka au laana zinapatikana kwa kutuma ujumbe? Lala kwako usiende kazini uone kama hizo baraka zitakufata kitandani

Fanya kazi kwa bidii mche Mola, tenda yaliyo mema saidia wenye uhitaji kuwa na malengo utafanikiwa , puuza kufanya haya itakula kwako...!

USIPUUZE...!TUMA UJUMBE HUU KWA WATU KUMI
 
imani kaka!

kwa imani tutaishi!

hakuna sehemu inayosema baada ya kutuma ujumbe usifanye kazi! nop!

tuma ujumbe then kapige mzigo!
 
huwa sifanyi hiyo kazi na hakuna kitu nakichukia kama msg za kuforwadiana SIZIPENDI

ofcourse hazinaga ladha sometimes!

ila kama zinatoka kwa baby mwallu, you gotta like them by force!

and you must reply fast and furious!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom