Tulokutana na visa humu JF vilivyotufanya tutaman kubadili majina yetu tukutane hapa,naanza mimi kuelezea yalonikuta

MIMI WATU HAWATAKI NIPNGEE UTANI WOWOTE MIJITU HUWA INAPARAMIA ETI WEEH BIGMIND GANI HUWA NAISHIA KUWACHEKA MAANA UNAKUTA NIMEANDIKA KITU MAKUSUDI..
 
Na viniogope kabisa maana naweza chukua kiboko niwachape
Unasema tu hapa ...ndo unatoka job unakuta kishaosha vyombo deki swafiii kimetandika kitanda utakumbuka kiboko kweli au chenyewe kikugaragazee
 
Mpaka uingie Pm ya jamiiforums, useme kwanini unataka kubidili. Lakini unaweza kutuma jumbe 1000000000000 hawajibu, usichoke uendelee tu kuwatumia ukiomba kubadili jina na pendekezo la jina jipya.

Ila nimeipenda hii avatar yako hahahahahahahahahaah
410222.jpg
Dahh
 
ila username zisizoeleweka ni KE/FE zinasaidia sana coz kuna watu wabaguzi wanajudge coment kulingana na jinsia acha tuendelee kuitana wakuu tu unachat na mama mkwe , baba mkwe, dada, kaka, shemeji anapost pumba unamuita mkuu tu
 
Back
Top Bottom