Tulizungumza ndoa ya mo na Simba mapema

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,576
18,894
Hiv vilabu vya Simba na yanga vitakuwa haviendelei kwa sababu zimekuwa zikitegemea wafadhili kuliko kutengeneza timu kuwa na vitega uchumi ndo maana nilisikia haji manara akisema Simba timu tajili ila ukimwambia ataje vitega uchumi wanavyomiliki vinavyowafanya wawe matajiri sizani km atakutajia.wafadhili wakiondoka na timu zao zinafanya vibaya sio kitu kibaya kuwa na mwekezaji lkn pia team nazo zinatakiwa zijimudu kuliko kumtegemea mwekezaji kwa Kila kitu ndo tunaona kwa Simba na mo,mo hawezi kuwa mwekezaji wakudumu Simba lazima ijiandae kuishi Bila mo
 
Yaani napata picha ya Mike Ashely na Newcastle yake.. mashabiki mpaka wameizila timu yao
 
Hiv vilabu vya Simba na yanga vitakuwa haviendelei kwa sababu zimekuwa zikitegemea wafadhili kuliko kutengeneza timu kuwa na vitega uchumi ndo maana nilisikia haji manara akisema Simba timu tajili ila ukimwambia ataje vitega uchumi wanavyomiliki vinavyowafanya wawe matajiri sizani km atakutajia.wafadhili wakiondoka na timu zao zinafanya vibaya sio kitu kibaya kuwa na mwekezaji lkn pia team nazo zinatakiwa zijimudu kuliko kumtegemea mwekezaji kwa Kila kitu ndo tunaona kwa Simba na mo,mo hawezi kuwa mwekezaji wakudumu Simba lazima ijiandae kuishi Bila mo
Simba

yanga
haji manara
mo

Ni deliberate errors?
 
Mo ameandika kwamba : "Watu wenye nia mbaya. kazi yao ni kuvunja tu. Kaa nao mbali, narudia kaa nao mbali sana.
 
Asante MO kwa ujumbe, sisi wengine tulishawajua kua nia yao ndo hiyo
download.jpg
 
Back
Top Bottom