Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,145
- 3,357
N vyema kujipa matumaini lakini sidhani km kutakuwa na jipya sana. Nasema hvyo kwa sababu mabadiliko ya nyanja mbali mbali kama uchumi sidhani km anaweza kuubadili kwa muda mfupi alionao.
Yaani haya majitu yamejaa pumba kichwani hata hayanaga misimamo kabisaKabla marehemu hajafa mlisema hatuwezi kupata mbadala wake leo mnasema una matumaini na XXXX jamani!
Ccm ni ileile wanachama ni wale waleKabla marehemu hajafa mlisema hatuwezi kupata mbadala wake leo mnasema una matumaini na XXXX jamani!
Mataga wanacho angalia ni sehemu moja tu 'wapi kuna mnuso?' Hawajawahi kuwa na msimamo.Kabla marehemu hajafa mlisema hatuwezi kupata mbadala wake leo mnasema una matumaini na XXXX jamani!
Ni watu wa hovyo sn sijui hawaoni hata aibuMataga wanacho angalia ni sehemu moja tu 'wapi kuna mnuso?' Hawajawahi kuwa na msimamo.
Ingawa kwa sasa wanapata shida kumpamba Rais mpya, ila subiria wiki chache tu zijazo! Kila Mataga atakuwa anamsifia Rais mpya kana kwamba hakuwepo huyu mtukufu wao waliye mwabudu usiku na mchana.
SureNitaupima Uongozi wake huu baada ya Miezi 6 tu. Kuanza Kumsifia hivi sasa wakati hana hata Wiki Mbili Ofisini ( Ikulu ) ni matumizi mabaya ya Maarifa ( Akili ) tulizopewa na Maulana / Mola.
Fisadi lenyewe hili hapaNi bora kuwa na mafisadi wengi kuliko kuwa na fisadi mmoja kama alivyokuwa Magufuli
Lakini kumbuka, wakati huo ndipo:-Sasa ni wakati wa kuukabili ukweli. Kwetu sisi wengine, inapendeza kupata hewa mpya ya ukweli, kuachana na UNAFIKI, PROPAGANDA, MAPAMBIO na ujinga mwingi unaotia kichefuchefu...
Yaani mkuu nikwambie, mimi pia baada ya JK nilitamani mtu wa vitendo. Lakini siyo wa aina ya Magu.Lakini kumbuka, wakati huo ndipo:-
(1)Twiga walipoibwa na kupakiwa kwenye ndege.
(2) Majambazi, watekaji magari na wapiga nondo huku kwetu walipotapakaa kila sehemu.
(3)Wizi katika taasisi za umma ulipochukua nafasi kwa speed ya 5G.
(4)Ajali barabarani zilipokuwa sehemu ya maisha ya wasafiri kwa kukosa usimamizi madhubuti.
Kwa ujumla, kulikuwa na madudu mengi ya ajabu kana kwamba Nchi haikuwa na mwenyewe.
Mataga wanacho angalia ni sehemu moja tu 'wapi kuna mnuso?' Hawajawahi kuwa na msimamo.
Ingawa kwa sasa wanapata shida kumpamba Rais mpya, ila subiria wiki chache tu zijazo! Kila Mataga atakuwa anamsifia Rais mpya kana kwamba hakuwepo huyu mtukufu wao waliye mwabudu usiku na mchana.