Niliyo itamka hapo.Na imani yako ww ipi?
Niliyo itamka hapo.Na imani yako ww ipi?
hakuna dhambi kutuma salamu. maana hata jpm alikuwa akituma salam kwa marais wapya.hawana imani wala nini bt wanaandaa mazingira ya connection ili waje wapige raslimali zetu kwa mikataba ya kilaghai, huyu mama apaswa kua makini wala asihadaike na hizo pongezi uchwara
Ubaguzi wa jinsia Tanzania!? Labda nyumbani kwenu!Wanampongeza kwa kuvunja glass ceiling ya siasa za Tanzania. Wanajua tuna ubaguzi wa jinsia kwa hiyo kumkubali raisi mwanamke ni kupiga hatua.
Hiyo ni imani yako,hakuna kilichobadilika,ila ni kweli yapo matumaini mapya tele,yenye uelekeo mpya kwa mambo mengi kuelekea Tanzania tunayoitamani.
Hatutaki kuruďishwa kwenye mawazo/ na ulimbukeni wa kutambuliwa na kusifiwa, kupongezwa na Wazungu na ule wa kuzurura huko duniani.
Tunataka Rais wa Watanzania Mtumishi wa Watanzania basi. Umeme wengine tumeshaanza kukatiwa Tanesco ukiwapigia wameanza majibu ya mafundi walikùwa mbali sana. Hii ni kabla hata JPM hajazikwa.
Halafu eti twataka tuifundishe dunia Kiswahili! Cha: 'apa Mologolo kuna kelo la alusi kira kona"Kutoka tatizo la l na r, sasa tumeingia kwenye tatizo la h na a. Awamu imekuwa hawamu, hasara imekuwa asala.
Binafsi ntamiss sana John Pombe Magufuli
Hivi sasa natazama Dira ya Dunia BBC~Ujeruman Corona inawagonga kichizi hadi wametangaza marufuku kadhaa wakati wa pasaka japo barakoa waneshavaa zaid ya Mwaka, Sanitizer na maji tiririka wametumia sana na Chanjo washachanjwa wengi
Thamani ya kitu utaijua kikipotea
Tunashukuru sana kwa Maisha ya Mwamba huyu
Kuna mwamba alikuwa anaamini katika ushirikina na nyungu, lakini sasa hivi na habari nyingine na mwenzie kashtuka namwona na barakoa sasa.Wajuaji ambao hawajui kuwa hawajui. Wanaacha kuzingatia kwamba hao wanaokufa kwa makumi elfu kwa corona maendeleo yao katika nyanja ya afya yanatuzidi sisi kwa tofauti ya kifo na usingizi. Wanao uwezo wa kuvaa barakoa mbilimbili lakini wapi bwana wee!
Kuna mwamba alikuwa anaamini katika ushirikina na nyungu, lakini sasa hivi na habari nyingine na mwenzie kashtuka namwona na barakoa sasa.
Baada ya kumsikiliza Rais mama (sielewi kama ni sahihi kumpa heshima ya kumwita mama) nina matumaini makubwa kuwa Tanzania imepita Rais bora atakaetupeleka kwenye utangamano wa kitaifa na maendeleo jumuishi. Nimefurahia zaidi pale aliposema dawa ya mtu anaekukashifu ni kumdharau mwishowe ataishia kujikashifu mwenyewe. Pia maelezo yake jinsi alivyojenga na kuimarisha NGO yake ni mtu mbunifu. Watanzania wote tumpe nafasi atuongoze atekeleze vision yake ya jinsi anavyotaka taifa hili liwe.
Kweli kabisa tumalize msiba, achague makamu ambaye atakubalika na umma wa watz, aina ya makamu atakayemchagua itatuambia yeye ni kiongozi wa aina gani.Nitaupima Uongozi wake huu baada ya Miezi 6 tu. Kuanza Kumsifia hivi sasa wakati hana hata Wiki Mbili Ofisini ( Ikulu ) ni matumizi mabaya ya Maarifa ( Akili ) tulizopewa na Maulana / Mola.