Tuliza ' akili ' yako kabisa halafu niambie umegundua nini juu ya hili tukio la hatari

kama jina la shule ni USENGE ..basi niwazi siwezi kushangazwa na TABIA ZA KISENGE " "toka kwa hao wanafunzi " "usikute hata walimu wao ni wasenge " ndio maana hawakutaka kusikiliza maoni ya wanafunzi " wao " kutokana na usenge waliokubuhu "...

Shikamoo Mkuu!
 
Wanafunzi wa Shule ya Upili ( Secondary ) ya Usenge huko nchini Kenya wamechoma moto Mabweni na Mali nyingi katika kile kinachotajwa kuwa ni kuchukizwa na kutosikilizwa na madai yao kwa muda mrefu na Uongozi wa Shule.

Nasisitiza tena tuliza kabisa akili zako irudierudie kuisoma hii taarifa kisha niambie unadhani tatizo la awali kabisa au kama ni ' nuksi ' kwa hiyo Shule itakuwa imeanzia wapi au nini itakuwa ni sababu hasa.

Source: BBC Swahili

Nawasilisha.
Dah inaonekana wewe utakuwa umelamba kilaji, kwanini matusi matusi tu? Au ndiyo jioni? Nahisi wewe utakuwa mchawi
 
Tatizo ni huyo mtu aliebuni jina la shule iwe lilitokana na mtaa, kijiji au kwa jina la mtu japo sina hakika kipi kilianza kati ya usenge na shule.
NB: Usenge kichaga ni mkongojo.
 
Mmmmmmh...Mkuu mbona Wewe umeenda mbali sana Kimaelezo? Ina maana ukituliza kabisa akili zako na ukatafakari bado tu hujaona tatizo la Msingi hapo na ' Nuksi ' yote ya tukio hilo zima imetokana na nini? Unaniangusha bhana Comrade!
Amigo, hiyo "nuksi" imetokana na jina "usenge" ambalo pengine wazazi/wana'nzego ama serikali iliamua kupea jina kwa shule hiyo..... tehteehhh
 
Mara chache sana unapata nafasi kama hizi ngoja niitumie hiyo shule ya Usenge itakuwa imekosa mabasha ndio maana wanafunzi wanawehuka
 
Hao wanafunzi wa Usenge wamefanya jambo la kisenge sana kuchoma shule... huenda maoni yao yalikuwa ya kisenge ndo maana walimu wa usenge wakayapuuza
 
Dah inaonekana wewe utakuwa umelamba kilaji, kwanini matusi matusi tu? Au ndiyo jioni? Nahisi wewe utakuwa mchawi

Kwahiyo na BBC nao wanapenda ' Matusi ' au? Swine. Nadhani kuna ' Kitu ' unachokitafuta Kwangu kwani umeanza kunitafuta na kunichokonoa mapema sana leo na katika ama ' threads ' au ' posts ' zangu nyingi kisha nikikujibu ' hovyo ' unakimbilia kwa Moderators ili wanipige BAN.

Nimekuvumilia vya kutosha na hili ni ONYO langu la mwisho Kwako tusije Kulaumiana tafadhali mbele ya safari. Halafu kuna Members fulani fulani ' Wanafiki ' hivi ninavyochokozwa na kudhihakiwa hawasemi chochote ila nikijibu tu utawaona wanaanza kuja na kunishutumu kwa maneno yangu ya ' shombo '. Na safari hii nawasubiri ili mkija tu ' niwanyoosheni ' vizuri.

Cc: Leonard Robert
 
Back
Top Bottom