Tuliza ' akili ' yako kabisa halafu niambie umegundua nini juu ya hili tukio la hatari

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,435
108,538
Wanafunzi wa Shule ya Upili ( Secondary ) ya Usenge huko nchini Kenya wamechoma moto Mabweni na Mali nyingi katika kile kinachotajwa kuwa ni kuchukizwa na kutosikilizwa na madai yao kwa muda mrefu na Uongozi wa Shule.

Nasisitiza tena tuliza kabisa akili zako irudierudie kuisoma hii taarifa kisha niambie unadhani tatizo la awali kabisa au kama ni ' nuksi ' kwa hiyo Shule itakuwa imeanzia wapi au nini itakuwa ni sababu hasa.

Source: BBC Swahili

Nawasilisha.
 
Nadhani kwa vile wanasoma shule ya sekondari ya Usenge,Sio jambo la ajabu kwao kufanya mambo ya Kisenge kama hayo ya uchomaji shule.
 
Hii ndio moja ya madhara makubwa ya kutokuwasikikiza watu/wananchi. Hapo maana yake vijana walipaza sauti zao hata hawaku sikilizwa, na mwisho hicho walicho kifanya ndio kielelezo cha kwamba walifikia mwisho wa uvumilivu.
Ukilitazama hili tukio kwa jicho la tatu, maana yake hata hapa kwetu linaweza kutokea kama viongozi hawataweza kuwasikiliza na kutatua matatizo ya wale wanao waongoza.
 
Subiri nichukue miwani. Haya maandishi me_kundu hayaonekani vizuri

Nasubiri ifike Saa 12:30 nione jinsi Watangazaji wa BBC Dira ya Dunia ( Radio ) na pale Saa 3:00 BBC Habari katika Television niweze kuona jinsi watakavyolitaja jina la hii Shule nzuri sana ya Upili ya Usenge. Leo ' sibanduki ' katika Radio na Tv.
 
kama jina la shule ni USENGE ..basi niwazi siwezi kushangazwa na TABIA ZA KISENGE " "toka kwa hao wanafunzi " "usikute hata walimu wao ni wasenge " ndio maana hawakutaka kusikiliza maoni ya wanafunzi " wao " kutokana na usenge waliokubuhu "...
 
Hii ndio moja ya madhara makubwa ya kutokuwasikikiza watu/wananchi. Hapo maana yake vijana walipaza sauti zao hata hawaku sikilizwa, na mwisho hicho walicho kifanya ndio kielelezo cha kwamba walifikia mwisho wa uvumilivu.
Ukilitazama hili tukio kwa jicho la tatu, maana yake hata hapa kwetu linaweza kutokea kama viongozi hawataweza kuwasikiliza na kutatua matatizo ya wale wanao waongoza.

Mmmmmmh...Mkuu mbona Wewe umeenda mbali sana Kimaelezo? Ina maana ukituliza kabisa akili zako na ukatafakari bado tu hujaona tatizo la Msingi hapo na ' Nuksi ' yote ya tukio hilo zima imetokana na nini? Unaniangusha bhana Comrade!
 
Back
Top Bottom