Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

FB_IMG_1651733278512.jpg
 
Tukiwa watoto/vijana tulikuwa na mawe ya kujisugulia miguu wakati wa kunawa au kuoga.

Eti siku hizi wanalipia huduma hiyo kwa pesa nyingi wanaita sijui leg scrub!
 
Unaikumbuka gari hiyo hapo ilikuwa mwaka 1989 nilikiwa namiliki mchuma huo (sio mimi) hapo Ni mission kota Kama unaelekea Kariakoo ukitokea Kigogo upande wa kulia Ni Msimbazi Mission nilipaki barabarani nikaweza kupigwa hiyo picha jaribu leo honi kibao!! Zamani wenye hizo Ford Cortina GT mark-,II tulijuana kwa majina, Mwananyamala alikuwa nayo jamaa mmoja fundi magari marehemu Sasa hivi alikuwa anaitwa Sefu Senge Kinondoni ndiyo mm Ilala Jamaa mmoja mtaalam wa chips Balafaa mjini walikuwa nazo wahindi
FB_IMG_1651990826358.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom