Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

Daaaaaaaaah, kwel jukwaa la manufaa.

kuna nyingine iliitwa.' MANDEO"hii mnapinga au kama agano ambalo ukiitwa jina lako ukaitika eidha naam au eeee. basi mwenzio anakupiga nyuma ya sikio.ila ukiitika kwa kusema mandeo basi hakuna shida.mtaishia kucheka nakufurahi.

Kwahiyo ukiitwa itika kwakusema neno MANDEO.Mshana Jr salute
 
1. Kupakwa dawa ya vidonda iitwayo GV
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetracycline
5. Kupamba kadi na pamba sebuleni
6. Ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
7. Kunyolewa kwa mkasi
8. Kufunga pesa kwenye leso au pindo la kanga
9. Wavulana kuvaa nguo ya ndani aina moja nchi nzima (VIP), usiombe ikakatika ukakuta imebana kifua.
10. Ku rewind kanda kwa peni
11. Nchi nzima Kuangalia Movie ya Commando John, Double Impact, Rambo na Bruce Lee..
12. Watoto Wa Mtaa Mzima Kufahamiana sababu ya kucheza Wote Jioni Kombolela na Kibaba..
13. Kuunguzana na tunda ya Ubuyu baada ya kulisugua chini
14. Kukata ndala, eti ni kifutio
15. Kunyolewa msalaba shuleni kisa nywele ndefu
16. Kuweka Vibox box kwenye Shati la shule Mgongoni..
17. Kuweka Shati la Shule "Blue" eti liwe maridadi.
18. Ubitozi Ulikuwa ni Kusimamisha Kola Ya Shati.
19. Ukiandika Barua kwa Umpendae lazima uchore moyo na Mkuki na lazima upulizie Pafyumu ya "YU".

20. Hata kama Mlikuwa mmegombana January lakini Mtu anakwambia ngoja shule ikifungwa

Kama kuna mengine ongezea
Umenikumbusha miaka ya 80 wakati nakuwa kuna mambo kibao hapo nimeyapitia
 
21. Wanafunzi wa sekondari zote za serikali kuvaa kaptula.

Vv
 
Kuna mchezo ulikuwa unaitwa "tobo dunda" unachezwa kama mpira wa miguu ila hakuna magoli halafu unachaguliwa mti mmoja wa kukimbia kushika ikitokea mpira umepita katikati ya miguu yako "tobo", inapotokea unapigwa ngumi pona yako ni mbio zako kwenda kushika mti. Ulikuwa mchezo wa kishujaa sana wakati ule
Bila kusahau tobo busu
 
Aina nyingine ya mchezo hatari wa kula mbakishie babaView attachment 2031760
Dalip_Tahil_VIP%2BFrenchie%2BAd_1980s.jpg
 
1. Kupakwa dawa ya vidonda iitwayo GV
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetracycline
5. Kupamba kadi na pamba sebuleni
6. Ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
7. Kunyolewa kwa mkasi
8. Kufunga pesa kwenye leso au pindo la kanga
9. Wavulana kuvaa nguo ya ndani aina moja nchi nzima (VIP), usiombe ikakatika ukakuta imebana kifua.
10. Ku rewind kanda kwa peni
11. Nchi nzima Kuangalia Movie ya Commando John, Double Impact, Rambo na Bruce Lee..
12. Watoto Wa Mtaa Mzima Kufahamiana sababu ya kucheza Wote Jioni Kombolela na Kibaba..
13. Kuunguzana na tunda ya Ubuyu baada ya kulisugua chini
14. Kukata ndala, eti ni kifutio
15. Kunyolewa msalaba shuleni kisa nywele ndefu
16. Kuweka Vibox box kwenye Shati la shule Mgongoni..
17. Kuweka Shati la Shule "Blue" eti liwe maridadi.
18. Ubitozi Ulikuwa ni Kusimamisha Kola Ya Shati.
19. Ukiandika Barua kwa Umpendae lazima uchore moyo na Mkuki na lazima upulizie Pafyumu ya "YU".

20. Hata kama Mlikuwa mmegombana January lakini Mtu anakwambia ngoja shule ikifungwa

Kama kuna mengine ongezea
Hahaha karibu yote nimeshayapitia.

Kumbe na mimi nimeshaanza kuwa mhenga.
 
Wapi Kanda Bongoman, Aurlus Mabele, Diblo Dibala, Defao, Awilo Longomba, Pepe Kale, Extra Musica, Wenge BCBG, Yondo Sister, Tshala Mwana, Mbilia Bel, Tabu Lei, Madilu System, Zaiko Langalanga, Mbuta Likasu,
Wewe ni mhenga mkongwe
 
1. Kupakwa dawa ya vidonda iitwayo GV
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetracycline
5. Kupamba kadi na pamba sebuleni
6. Ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
7. Kunyolewa kwa mkasi
8. Kufunga pesa kwenye leso au pindo la kanga
9. Wavulana kuvaa nguo ya ndani aina moja nchi nzima (VIP), usiombe ikakatika ukakuta imebana kifua.
10. Ku rewind kanda kwa peni
11. Nchi nzima Kuangalia Movie ya Commando John, Double Impact, Rambo na Bruce Lee..
12. Watoto Wa Mtaa Mzima Kufahamiana sababu ya kucheza Wote Jioni Kombolela na Kibaba..
13. Kuunguzana na tunda ya Ubuyu baada ya kulisugua chini
14. Kukata ndala, eti ni kifutio
15. Kunyolewa msalaba shuleni kisa nywele ndefu
16. Kuweka Vibox box kwenye Shati la shule Mgongoni..
17. Kuweka Shati la Shule "Blue" eti liwe maridadi.
18. Ubitozi Ulikuwa ni Kusimamisha Kola Ya Shati.
19. Ukiandika Barua kwa Umpendae lazima uchore moyo na Mkuki na lazima upulizie Pafyumu ya "YU".

20. Hata kama Mlikuwa mmegombana January lakini Mtu anakwambia ngoja shule ikifungwa

Kama kuna mengine ongezea
Kucheza mpira wa karatasi na mwenye mpira hakosi namba na ikitokea kuna penati anawekwa kipa anakaa pembeni anadaka kipa mwingine baada ya hapo gemu inaendelea na kipa wa awali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom