Tuliwauzia Nyumba.za.serikali kwa bei rahisi ili mjikimu na maisha sasa mmefanya ufisadi!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,606
8,657
Naomba kujua nyie mliouziwa nyumba za serikali ambazo ni kidi za baba zetu na baadae kodi zetu,mliuziwa bei karibu na bure ili msiende kupanga mtakapo staafu!sasa leo hizo nyumba mmezifanya za matiycoon nanyie mmeenda kupanga!Sasa nakuomba Mh Rais utoe tamko kwa watu wanamna hii!
 
Back
Top Bottom