Tuliwambia hii Nchi bila wapinzani kuitetea ni kazi bure. Mmeona wenyewe. Msilie sasa kaeni kwa kutulia.

Nchi upinzani ni wapinzani wa wananchi sijui watachaguliwa na nani
Mkuu mambo ya wapinzani achana nayo endelea kuchagua hao hao ccm. Kila mtu ashinde mechi zake. Lipa kodi kwanza uache kulalamika
 
Mkuu mambo ya wapinzani achana nayo endelea kuchagua hao hao ccm. Kila mtu ashinde mechi zake. Lipa kodi kwanza uache kulalamika
Viongozi wenu walipofungwa wananchi waliwachangia pesa kibao wakiamini mtakua nao kwenye shida zao, walikuwa wanajidanganya asee, mimi niliwashtukiaga zamani sana na tokea hapo hamtakuja kunidanganya
 
Viongozi wenu walipofungwa wananchi waliwachangia pesa kibao wakiamini mtakua nao kwenye shida zao, walikuwa wanajidanganya asee, mimi niliwashtukiaga zamani sana na tokea hapo hamtakuja kunidanganya
Wananchi wakina nani? sio ccm. Walichangiwa na wanachadema wapenda haki na maendeleo. Nyie komaeni hili ni zigo lenu.
 
Unavyojitoa kama unaishi kenya anyway baadhi ya wapinzani ni njaa tu ndio inawasumbua je wewe hulioni hili.
Mkuu ni mambo mangapi wapinzani wamepigania huku wakiishia kudharaulika na kubezwa?? leo nini kimetokea hadi mnahitaji msaada wao??
 
Ni mtu mjinga tu anayedhani MAENDELEO hupatikana kirahisi na kwa kupita NJIA ZA MKATO ?!!!!

MAENDELEO binafsi yanapatikana kwa kufunga mkanda......

MAENDELEO ya nchi hupatikana kwa wananchi kuifunga mikanda.....

Dr.Mwigulu yuko sahihi....
Bunge liko sahihi.....
Mikanda ifungwe na wote sio wengine wako exempted
 
Mbona wajinga wengi hivi!
Kwani upinzani wanaongoza serikali?
Tulipoitisha maandamano ulikuja?
Ujinga muwe mnabaki nao sio kuutawanya namna hii
 
who cares by your statement?

mnaumia tu

mama anaburuza tu na hamna la kusema
Nakushangaa wewe unaejitoa huko................ tena wewe ambaye ni mbeba mkoba wa hao watu ndio hasara zaidi maana cha kwanza lazima hela yako iingie kwa mobile money............. nina shida gani mimi niko huku Botswana mambo ni yamenyooka peeee
 
Back
Top Bottom