Tuliwakejeli Wakenya kwenye vurugu ya Uchaguzi wao!


M

mmakonde

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2009
Messages
967
Likes
20
Points
0
M

mmakonde

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2009
967 20 0
Sasa yanataka kuja Tanzania !Huu ndio mwanzo.
Hata Kenya walikuwa na Usalama wa Taifa,nguvu za dola etc.Naona UWT wa Tanzania na vyombo vingine vinafikiri tuko enzi za kikoministi za Urusi.

Lakini wananchi wa Kenya waliamua kuwa wizi wa kura in favour of Kibaki was too much.
Inawezekana JK alishinda,lakini the way Tume ya Uchaguzi,Polisi,UWT walivyobehave haileti picha nzuri kabisa.

Corruption ya nchi ,kuanzia BoT,Richmond,Twin Towers,Patel& Co,Tenda fake huko JWTZ,
Dhahabu yetu kila siku kuondoka nchini ,Ndege ya Raisi,watuhumiwa wote kuanzia Mkapa,Chenge,Lowassa and Rostam
etc kuendelea kupeta mtaani,tunadeserve better Watanzania.May be hili bunge litafanya kitu kumwambia at least Msanii wetu sio sifa kuruka kila siku kwenda nje,nchi kama Tz rais kuwa na President Jet ni matusi .

Kuna Mbunge anaweza kutable private motion kuzungumzia majambo kama haya?????
Let see,but the future is bleak
 

Forum statistics

Threads 1,238,339
Members 475,888
Posts 29,317,217