Tuliwahi kuwa Taifa moja na Utaifa ulikuwa juu, kimetokea nini miaka ya karibuni?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,169
23,860
Regardless of chama , hii ilipendeza sana kuona baina ya vyama, kuunganishwa na nchi yetu kwa umoja.
Nani aliingiza sumu ya kuondoa utaifa wetu?

1629208726167.jpeg
 
Unapotaka kupata structure mpya ya kitu fulani, basi ni LAZIMA uharibu sura ya zamani ili ujenge kitu kipya..

Usishangae. Hii ni hatua ya lazima kwa taifa hili kupita ili kwenda kuzaliwa taifa jipya la Tanzania. It's a painful stage lakini lazima tupite humo..

In my opinion, Rais Samia Suluhu Hassan ndiye wa mwisho kuhitimisha process hii ya evolution before the emergency of new Tanzania...!!
 
Sikuwahi kumsikia kikwete akichombeza maneno ya kabila lake kwenye kampeni au kwenye mikutano ya kisiasa. Ila sasa akaja mtu mmoja hivi sijui kutokea wapi dah tumepitia pagumu sana
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom