Hukuwaambia poa walaiTena si bombardier!!!
Yaani mnachezewa akili kama watoto,
Hata hamjui serikali imeorder Gani,
Mmeskia ni korail mkachanganyikiwa na videos za wenyewe
Waliagiza hii hapaHukuwaambia poa walai
Serikali yao haijielewi yani, mpka sasa hawajui km wanataka nn..hilo ndio tatizo la kujifanya una uwezo mkubwa kumbe hamna kitu
Iyo ya mkandarasi
Unajua mpaka mna-bore mmekosa kabisa ku-stick to the facts? Sasa kama hizo ndo treni zetu mbona zina jina Yapi Merkezi?
Kwhyo umekubali km mpka sasa serikali yenu haijui inataka nnUnajua mpaka mna-bore mmekosa kabisa ku-stick to the facts? Sasa kama hizo ndo treni zetu mbona zina jina Yapi Merkezi?
Mbona haijaandikwa TRC/TRL kama hii?
Hivi vitu ni vigeni kwenu kwa vile reli yenu haina fast train options ndo maana mmeshupalia treni ya contractor ndo yetu!Kwhyo umekubali km mpka sasa serikali yenu haijui inataka nn
I can`t wait to see what $60m is going to get them and I won`t be surprised to see Ethiopia-like trains in Tanzania.Tena si bombardier!!!
Yaani mnachezewa akili kama watoto,
Hata hamjui serikali imeorder Gani,
Mmeskia ni korail mkachanganyikiwa na videos za wenyewe
Yani wewe umeona treni tu hiyo MBEZI bus terminal ujaiona kuhusu treni tunanunua the best choice sikuizi Kuna mavitu yamewadodea wazungu ukikulupuka wanakubambikia kumbe ni lower efficient licha ya kuwa vipya, mabeberu wanatafuta nchi za kuwabambikia mfano ni ndege za kivita wanazo nyingi zimesha pitwa na wakati zimejaa kwenye storage zao wanatafuta mpuumbavuu wamsukumie hizo product Kama mlivyo fanyiwa WAKENYA kwa Esigiara yenu uchwara MMEPEANA TECHNOLOGY ILIYO PITWA NA WAKATI KWA ,iliyo kuwa imedoda huko China Sasa wamepata slum ya kutupia ndiyo KenyaKwhyo umekubali km mpka sasa serikali yenu haijui inataka nn
Yaani mnazingua kinoma mnakuwa kama watoto. Mmejikita katika vituko, kejeli na mambo kama hayo.Kwhyo umekubali km mpka sasa serikali yenu haijui inataka nn
I can`t wait to see what $60m is going to get them and I won`t be surprised to see Ethiopia-like trains in Tanzania.
Yaani mnazingua kinoma mnakuwa kama watoto. Mmejikita katika vituko, kejeli na mambo kama hayo.
Hapa JF ni GT lete vitu vyenye facts na vay ukweli.
Zaidi sana mnaonekana kama watu mliochindwa and desperate. Sisi tunaongea vitu vya ukweli, nyie mnaeneza vitu vya uongo vilivyojaa chuki.
Contractor huleta kitu kulingana na mfumo wa wake, kwhyo inamaana hvyo vyuma vinaweza piga kazi katika hyo reli yenu tena freshy tu..Hivi vitu ni vigeni kwenu kwa vile reli yenu haina fast train options ndo maana mmeshupalia treni ya contractor ndo yetu!
Sgr ya kenya pia china zipo na zinafanya kazi km kawaidaYani wewe umeona treni tu hiyo MBEZI bus terminal ujaiona kuhusu treni tunanunua the best choice sikuizi Kuna mavitu yamewadodea wazungu ukikulupuka wanakubambikia kumbe ni lower efficient licha ya kuwa vipya, mabeberu wanatafuta nchi za kuwabambikia mfano ni ndege za kivita wanazo nyingi zimesha pitwa na wakati zimejaa kwenye storage zao wanatafuta mpuumbavuu wamsukumie hizo product Kama mlivyo fanyiwa WAKENYA kwa Esigiara yenu uchwara MMEPEANA TECHNOLOGY ILIYO PITWA NA WAKATI KWA ,iliyo kuwa imedoda huko China Sasa wamepata slum ya kutupia ndiyo Kenya
Km hamjielewi ndio msiambiwe, mara vichwa bandarini tayri, mara siemens sai mumeibuka na south korea..Yaani mnazingua kinoma mnakuwa kama watoto. Mmejikita katika vituko, kejeli na mambo kama hayo.
Hapa JF ni GT lete vitu vyenye facts na vay ukweli.
Zaidi sana mnaonekana kama watu mliochindwa and desperate. Sisi tunaongea vitu vya ukweli, nyie mnaeneza vitu vya uongo vilivyojaa chuki.
Kinachokuuma ni nini sasa!? Unatulisha!?Km hamjielewi ndio msiambiwe, mara vichwa bandarini tayri, mara siemens sai mumeibuka na south korea..
Ukweli ni hamjui mnataka nn bali ni kutaka kujimwambafai tu
Kumbe imekuumaKinachokuuma ni nini sasa!? Unatulisha!?
By the way nani kakuambia tunanunua Siemens!?