Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Kirusi kipya kikali kimeibuka huko SA. Nchi nyingi zimepiga marufuku safari za wanaotoka Africa, hasa huku kusini.
Kwa kiasi kikubwa Variants hizi hatari huzaliwa ndani ya wale ambao hawajachanja. Ili kupambana na korona kikamilifu inatakiwa wote wachanjwe, kuchanja kuwe lazima. Bila ya hivyo, wale ambao hawajachanja watafanya variants zizaliwe ambazo hazisikii hata chanjo zilizopo.
Kuchanja kunatakiwa kuwa lazima.