Hahaha...poa nafanya ukarabati kwanza mall iwe nzuri zaidi
Wewe hujatumia labda kama ulikua unapewa hela na mzazi ukanunue chumvi. miaNsha comment
Ulishafanya kazi ukalipwa hiyo noti au ulikua unaiona kwa baba? miaHii juzi tu mkuu
Mkuu hilo jina lako ulitaka kujiita chibol kama ile timu ya drc? miaAisee utafiti salama?
Wewe hujatumia labda kama ulikua unapewa hela na mzazi ukanunue chumvi. mia
Ahahah....
Ni vyema kuota!!!lol
Ulishafanya kazi ukalipwa hiyo noti au ulikua unaiona kwa baba? mia
Mr Rocky nijulishe hali yako kakautafiti na Mentor mko salama figganigga mbona ni ya juzi juzi tuu hii ungetuletea ile Shs Kumi ya noti bana tumeikosa sana
pambana aise ndio mpango mzimaTupo kaka tunapambana
Naweka order kabisa mkuu, suti nyeusi
pambana aise ndio mpango mzima
Ila hujafanya kile nilichokuambia aise
Hahahaha kaka nakumbuka sana na siwezi kusahau, kuna habari njema sana ila nitakufata pm..