Tulipotoka Tanzania: Hizi noti zinanikumbusha mbali sana...!

Zilikuwa na thamani pamoja na ubora, siyo hizi za awamu ya nne ambazo ni masifuri yanaongezeka lakini thamani yake hakuna!!!!!
 
Tanzania maisha yalikuwa tuulivu enzi hizo, toka aingie dhaifu kaua kila kitu, vizuri anamkabidhi ridhwan. Lkn wakae wajue siku ya uhuru kamili yaja!
 
kumbe na mimi wa kitambo eeeh, nimetumia 20, 50, mia 2, mia tano, zote za zamani....jamaa aliyepost kanirudisha miaka kibao nyuma, enzi izo shule ya msingi napewa sh. 20 nauli sh5, sh.10 ya kula hahahahahhahahhaha it was awesome
 
hela zilikuaga na quality,siku hizi ukiikuta jero iliochoka hadi maandishi yamefutika....
kila kitu ni feki kuanzia hela(low quality),mapododo(mchina),yaani hadi viongozi ni feki,kwasababu hadi mtu anakuambia usipoidhinisha ndoa za jinsia moja hatukupi msaada,hiyo ni dharau,ivi ingekua ni Nyerere wangemuanzia wapi kumueleza huo upuuzi wao
 
@pukudu
za bukubuku enzi za mwinyi na mkapa hizi hapa,

Shilingi+1000-Mwinyi.jpg
tz_1000shs_mkapa_1_-v2.jpg

Shilingi+1000-Mkapa.jpg
 
Umenikumbusha mbali mkuu! Kizazi cha Lulu nadhani wanashangaa kuona noti za zamani za Sh. 10, 20, 50, 100, 200 nk!
 
dah minaona hizi zilikuwa bora kuliko za sasahv..yan mavitu ya CCM siku hzi ni udhaifu dhaifu tu..
 
Umenikumbusha mbali mkuu! Kizazi cha Lulu nadhani wanashangaa kuona noti za zamani za Sh. 10, 20, 50, 100, 200 nk!

those good days,nakumbuka x-mas moja nilipewa tsh 10 ya sikukuu nikatumia sent ishirini kupanda mkokoteni wa punda nyingine nilikunywa soda sh 6 na chenji kibaao zilibaki nikatesa nazo saana mitaa ya mabembeani library-tanga.
 
mkuu comment yako imenisisimua sana.....!!
 
Back
Top Bottom