Tulipotoka na tulipo miaka 20 baadaye, mchawi wetu ni CCM ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tulipotoka na tulipo miaka 20 baadaye, mchawi wetu ni CCM !

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mag3, Mar 4, 2011.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  deleted
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu Mag3,

  Kwa ufupi ni kwamba mabadiliko yoyote makubwa ya kisiasa lazima yaendane na mabadiliko ya kikatiba. Kutokana na ukubwa wa swala katiba ina weza ika fanyiwa amendment au katiba iliopo kufutwa kabisa na kuchorwa mpya. Amendments kwenye katiba baada ya kuruhusu vyama vingi havikuendana na uzito wa mabadiliko yenyewe. In short ume ruhusu vyama vingi wakati katiba ni ya chama kimoja.

  Lakini mkuu tutegemee nini kama mpaka leo hii ukifungua ukurasa wa kwanza wa katiba una ambiwa Tanzania ni nchi ya kijamaa wakati hakuna ujamaa wowote? Mambo hayaendi kwa sababu mabadiliko muhimu haya pewi nguvu ya kikatiba bali yana pachikwa pachikwa tu kiholela.

  Katiba ya Tanzania inabidi iandikwe upya. Hakuna ujanja tena wa kuweka weka viraka.
   
Loading...