Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,867
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very true ukitaka kuwatawala wafanye masikini, angalia mahind, tetemeko, mishahara, korosho, mbaazi, wanyonge kodi usiwape kituinawezekana sio matapeli bali ni mpango uliopangwa kimkakati kuwakomoa wakulima
Mimi niliukataa unyonge huu wa kutengeneza na nikaandika thread ya kuukataa unyonge lakini moderators wakaupotezea. Moderators leteni uzi wangu hapa wadau wausome.Very true ukitaka kuwatawala wafanye masikini, angalia mahind, tetemeko, mishahara, korosho, mbaazi, wanyonge kodi usiwape kitu
Kivipi, fafanua mkuuinawezekana sio matapeli bali ni mpango uliopangwa kimkakati kuwakomoa wakulima
Kweli ndio wanavyotakaVery true ukitaka kuwatawala wafanye masikini, angalia mahind, tetemeko, mishahara, korosho, mbaazi, wanyonge kodi usiwape kitu
Aliyeturoga alizikwa na uchawi wake...
Umeongea vema sana....ilitokea kwenye tobacco few years ago; similar to korosho, jamaa walilazimisha bei bila kuzingatia pricing kwenye world markets...Shida ni kuwa wanunuzi wakubwa wa korosho huwa ni wachache duniani na huwa wananunua kwa reliable source zao tu. Ukitaka wanunue kwako inabidi upitie kwa mtuwao. Wazungu sio watu wa kurupuka hats kidogo wala hawayumbishwi. Wamepitia mengi ndio maana wanamisimamo yao sio sisi tunaendeshwa kwa utashi wa mtu Bali tunatakiwa tuongozwe na kanuni na sheria. Tumejifunza lakini, hatuna wa kumlaumu nahisi hatutarudia tena
Wanachokijua zaidi ni utekaji na utesajiShamba la bibi masela wamejikusanya hapo Nairobi kuja kututapeli, hakika kitengo kimelala.