Kuna wakati tuliwaambia serikali haina pesa za kulipa mishahara hadi kulazimika kukopa kwenye taasisi mbalimbali zikiwemo za watu binafsi, lakini pro CCM wakiongozwa Lizaboni walishupaza shingo.
Jana Rais kawaumbua, kasema alikuta hazina haina kitu kabisa hata pesa ya kulipa mishahara ilikuwa haipo.
CCM msiwe mnajitoa akili kwa mapenzi ya kijinga.
Sote ni watanzania tunaposema ukweli na kumkosoa Magufuli siyo kwamba hatuna mapenzi na nchi, na mara nyingi mkosoaji ndiye mjenga nchi zaidi ya mpiga makofi na kumvika rais kilemba cha ukoka.
Jifunzeni.