Tulipopata GPA za upper second class and above tukutane hapa

GPA Leo?
 

Attachments

  • IMG_20210806_071418_359.jpg
    IMG_20210806_071418_359.jpg
    61.9 KB · Views: 19
Una akili sana mkuu.. from home to namba 3.. mie hata sijui yani sikumbuki ila nacho jua sijawahi shika hata nafasi ya 100.. chuo penyewe ndio nilikuwa naongoza kwa suplementary kila semester nilikuwa naondoka sup zangu nne hadi tano.. nikirudi sepeter conference na kitita cha sup .. ila Mungu haya acha aitwe Mungu
daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu Kama ana akili ana akili huwezi lazimisha mwenye akili ya GPA kubwa ashuke awe na GPA ndogo iwe inamsaidia au haimsaidii

Lengo Nini kuwa watu wote wafanane akili au? Ukiwa akili huna utaambulia GPA ndogo Ni halali yako ikusaidie isikusaidie ndio kiwango chako cha uelewa kilipoishia huyo wa kubwa mwache naye na akili zake

GPA ni kionyesho Cha kuwa huyu mtu ana akili.Kwenye eneo lipi la maisha Ni yeye anatakiwa kuligundua na ku li persue.

Sema GPA kubwa huhitaji kazi kubwa za kutumia akili ambazo Ni chache .Nyingi ziko za vi GPA vidogo ila si za maana Sana

GPA kubwa akifanikiwa kupata kazi ya kulingana na GPA yake Ni Moto wa kuotea mbali

Life is a competition Popote ulipo unatakiwa ku aim high iwe chuo au popote kupata vya Chini kunatowa meseji kubwa Sana kuwa you are not ambitious na huko competitive

Ndio maana mashirika ya kimataifa na makampuni ya kimataifa huwa yanataka best brains sio akina Mr and Mrs evarage akina Low GPA


High GPA huandaliwa kwa high managerial posts
Ushauri wangu GPA kubwa ukiona kazi hamna saka scholarship ziko.kibao nje ya Nchi na hutaka wenye GPA kubwa.Utasoma huku unalipwa posho au kuajiriwa kufundisha huku unasoma digrii zako za juu badala ya kukaa kushindana humu na vijinga vilivyopata GPA ndogo
Nunua soda 🥤 naja lipa
 
Kwakweli GPA kwa upande wangu imenisadia sana. Katika dunia hii ya ushindani, GPA (kutoka vyuo vinavyoheshimika) ndio kigezo kikuu kinachotumika kukutofautisha wewe mwenye GPA kubwa na yule alieye na GPA ndogo kwenye soko la ajira. Endapo wote mna vigezo vinavyifanana, degree zinazofanana, umri unalingana, na wote ni fresh from school, mwajiri anahamia kwenye kuangalia GPA, huu utaratibu ndio umekuwa ukitumika hasa kwenye mashirika makubwa na taasisi zinazojielewa.

Aidha, kutokana na uhaba wa ajira, unapofanikiwa kupata GPA nzuri, unakuwa na uhakika wa kupata ajira kwenye vyuo vikuu, ambayo unaweza kuitumia kama "stepping stone" kuelekea kwenye ajira unayoitaka. Mshahara wa mwalimu wa chuo kikuu si haba kwa kuanzia maisha, kuliko kubaki mtaani. Zipo scholarship, ambazo kutokana na GPA uliopata, unatumiwa tiket ya ndege, unalipiwa ada, na unapewa hela ya kula kila mwezi kwa kipindi chote unachokua huko europe, na pia unapewa tiket ya ndege kurudi nchini utakapomaliza masomo. Fursa hizi zote zinatokana na kiwango chako cha ufaulu.

Nawashauri vijana waliopo vyuoni, watumie muda wao vyema kusoma kwa bidii, kufaulu vizuri sana, maana hio ndio njia pekee itakayokutofautisha wewe na huyo classmate kwenye soko la ajira. Acheni kudanganyana kwamba huku mtaani fursa hazitegemei GPA. Tia mkazo kwenye GPA utaona manufaa yake.
Shukran mkuuu

On it
 
Back
Top Bottom