Tulipopata GPA za upper second class and above tukutane hapa

Mm ndio mwalimu wao job hao wenye GPA kubwa,kila kitu wanauliza,hata cha kujiongeza tu utaulizwa,"flani hapa tunafanyaje,ikiwa hv inakuaje n.k na hapo tumeajiriwa mwaka mmoja
Kwa vyuo vyetu TZ na utoaji wa elimu vyuoni ulivyo, kuna mazingira huwa nakosa connection ya gpa vs utendaji kazi/maarifa ya mwenye hiyo gpa kubwa...
Gpa pia hutegemea umesoma chuo gani,kuna vyuo vinagawa hizo gpa kama njugu(no ku-fail kwenye mitihani,no sup,no carry over kwa wanafunzi,hata kama watakuwepo wanahesabika,haswa private institutions mf. vyuo vya kidini...
So mkuu unanishauri niende saut kupiga Masters yangu ? Maana nataka GPA kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima yenu wakuu..

Tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively. Je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?

Binafsi nilipata GPA ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.

Karibuni wadau.
Hakuna schoola of architecture pakle ardhi university,au ulitaka kumaanisha derpartment
 
Hakuna schoola of architecture pakle ardhi university,au ulitaka kumaanisha derpartment
Ilikuwepo enzi zetu ikiitwa school of Architecture amd design SADE... nasikia kwa sasa zimebadilishwa badilishwa na kuunganishwa na wanaosoma BE kama sikosei.. mimi muhenga mdogo wangu
 
Huwa napata shida sana mfumo wa GPA kutumika pekee katika kutoa scholarship, kutoa ajira za ualimu wa vyuo vikuu n.k

Ikumbukwe kuwa vyuoni tunafundishwa na waalimu tofauti ,mtihani inatungwa tofauti kutegemea na mwl kaamkaje anaweza sema nawapa tu assignment ndo itakuwa mtihan na mwaka mwingine akatunga pepa ngumu watu wasifaulu vizuri

Ni ujinga kulinganisha GPA za mwaka mmoja na mwingine ...hasa kwa elimu ya vyuo ,ni vibaya kulinganisha GPA ya mwaka 2010 na GPA ya mwaka 2020 kwa fani moja kama kigenzo pekee.
 
Ili tujue faida na hasara
Mtu Kama ana akili ana akili huwezi lazimisha mwenye akili ya GPA kubwa ashuke awe na GPA ndogo iwe inamsaidia au haimsaidii

Lengo Nini kuwa watu wote wafanane akili au? Ukiwa akili huna utaambulia GPA ndogo Ni halali yako ikusaidie isikusaidie ndio kiwango chako cha uelewa kilipoishia huyo wa kubwa mwache naye na akili zake

GPA ni kionyesho Cha kuwa huyu mtu ana akili.Kwenye eneo lipi la maisha Ni yeye anatakiwa kuligundua na ku li persue.

Sema GPA kubwa huhitaji kazi kubwa za kutumia akili ambazo Ni chache .Nyingi ziko za vi GPA vidogo ila si za maana Sana

GPA kubwa akifanikiwa kupata kazi ya kulingana na GPA yake Ni Moto wa kuotea mbali

Life is a competition Popote ulipo unatakiwa ku aim high iwe chuo au popote kupata vya Chini kunatowa meseji kubwa Sana kuwa you are not ambitious na huko competitive

Ndio maana mashirika ya kimataifa na makampuni ya kimataifa huwa yanataka best brains sio akina Mr and Mrs evarage akina Low GPA

High GPA huandaliwa kwa high managerial posts
Ushauri wangu GPA kubwa ukiona kazi hamna saka scholarship ziko.kibao nje ya Nchi na hutaka wenye GPA kubwa.Utasoma huku unalipwa posho au kuajiriwa kufundisha huku unasoma digrii zako za juu badala ya kukaa kushindana humu na vijinga vilivyopata GPA ndogo
 
Kwakweli GPA kwa upande wangu imenisadia sana. Katika dunia hii ya ushindani, GPA (kutoka vyuo vinavyoheshimika) ndio kigezo kikuu kinachotumika kukutofautisha wewe mwenye GPA kubwa na yule alieye na GPA ndogo kwenye soko la ajira. Endapo wote mna vigezo vinavyifanana, degree zinazofanana, umri unalingana, na wote ni fresh from school, mwajiri anahamia kwenye kuangalia GPA, huu utaratibu ndio umekuwa ukitumika hasa kwenye mashirika makubwa na taasisi zinazojielewa.

Aidha, kutokana na uhaba wa ajira, unapofanikiwa kupata GPA nzuri, unakuwa na uhakika wa kupata ajira kwenye vyuo vikuu, ambayo unaweza kuitumia kama "stepping stone" kuelekea kwenye ajira unayoitaka. Mshahara wa mwalimu wa chuo kikuu si haba kwa kuanzia maisha, kuliko kubaki mtaani. Zipo scholarship, ambazo kutokana na GPA uliopata, unatumiwa tiket ya ndege, unalipiwa ada, na unapewa hela ya kula kila mwezi kwa kipindi chote unachokua huko europe, na pia unapewa tiket ya ndege kurudi nchini utakapomaliza masomo. Fursa hizi zote zinatokana na kiwango chako cha ufaulu.

Nawashauri vijana waliopo vyuoni, watumie muda wao vyema kusoma kwa bidii, kufaulu vizuri sana, maana hio ndio njia pekee itakayokutofautisha wewe na huyo classmate kwenye soko la ajira. Acheni kudanganyana kwamba huku mtaani fursa hazitegemei GPA. Tia mkazo kwenye GPA utaona manufaa yake.
 
Heshima yenu wakuu..

Tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively. Je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?

Binafsi nilipata GPA ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.

Karibuni wadau.
Mkuu umesoma usanifu majengo halafu unafanya ujasiriamali..!! Ujasiriamali wa nini mkuu?
 
Aaah! Bills kitambo hicho ya moto.. hapo Joly palikuwa pamenoga, mala moja moja home wakituma vi hela baada ya kuwadanganya umeibiwa laptop, safety booty na overkoti, unadumbukia Las Vegas pale.. 😟😟😟😟.. kweli kutesa kwa zamu .. Utatamani vipi ajira wakati unaweza ku create ajira.. 😎😎.. nipe chaka bwanaa weeee huku njaaa kitaaa si unajua 2.5 hata wanaitenga trancrip imejaaa makalai tu 😂😂😂😂😂
We mwana utakuwa DIT boy dadeki zakooo........hahahaha Billz tumezurura sana hapo ,kipindi chetu sie pale Billz ukiwa na line ya zantel ni tiketi tosha Kuna kitu ilikuwa inaitwa epic nation mamaee........
 
StanleyRuta... na wewe ni architect??? Maana nimesoma darasa moja na mshkaji anaitwa stanley Ruta stanleyRuta
 
Back
Top Bottom