Tulipopata GPA za upper second class and above tukutane hapa

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,155
2,000
We mwana utakuwa DIT boy dadeki zakooo........hahahaha Billz tumezurura sana hapo ,kipindi chetu sie pale Billz ukiwa na line ya zantel ni tiketi tosha Kuna kitu ilikuwa inaitwa epic nation mamaee........
StanleyRuta... na wewe ni architect??? Maana nimesoma darasa moja na mshkaji anaitwa stanley Ruta stanleyRuta
 

mwanamanzi

JF-Expert Member
Feb 15, 2017
264
500
Nilisoma nikitokea kazini na umri mkubwa nikatoka na GPA ya 3.6.
Kiutumishi haikunisaidia chochote ila kitaaluma imenipa fursa kubwa sana
 

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
4,141
2,000
GPA Leo?
 

Attachments

  • IMG_20210806_071418_359.jpg
    File size
    72 KB
    Views
    0

reymage

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
2,547
2,000
Una akili sana mkuu.. from home to namba 3.. mie hata sijui yani sikumbuki ila nacho jua sijawahi shika hata nafasi ya 100.. chuo penyewe ndio nilikuwa naongoza kwa suplementary kila semester nilikuwa naondoka sup zangu nne hadi tano.. nikirudi sepeter conference na kitita cha sup .. ila Mungu haya acha aitwe Mungu
daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom