bahati30
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,625
- 879
Mkuu vilaza tena!!!!!.....Nilipata supp ya business law first year nkachomoa chaap ..nkapata supp ya audit second year third year management chupu chupu nidakwe wakatuongezea marks nikaponea mdomoni ...aisee Supp n tamu san kama unazijulia !disccssn za supp mnakutana wote vilaza mnaelekezana ad raha , ambao hawajawai pata supp nadhan kuna k2 kama wamekikosa sana ktk elimu ya chuo