Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,123
CBE ilikuwa hata ukiwa na CW 39 na UE less than 24 unapata Tech Failure ambayo ni sawa na Supp mnakutana SeptConf!. Yanawezekana sana hayo!.CW 34
UE. 20 hii Sup ya wapi ?
Labda kama wamebadili!.
CBE ilikuwa hata ukiwa na CW 39 na UE less than 24 unapata Tech Failure ambayo ni sawa na Supp mnakutana SeptConf!. Yanawezekana sana hayo!.CW 34
UE. 20 hii Sup ya wapi ?
Yes wazee wa Hali ya hewa..degree zake zikianzishwa nasikia tutapewa lile jengo la ghorofa lilikuwa liwe wizara ya maji kwa sababu wizara imeenda DOM.hahahahahaa komaeni madogo
hiyo sijuhi HYM ndiyo wale wenye kijituo chao pale maeneo ya canteen?
Yes wazee wa Hali ya hewa..degree zake zikianzishwa nasikia tutapewa lile jengo la ghorofa lilikuwa liwe wizara ya maji kwa sababu wizara imeenda DOM.
Mkuu sijakushika masikio kwenye mahafali ya mwaka Jana alikuja naibu waziri wa maji akatuhakikishia lile jengo litakuwa la chuo Cha maji. Mkuu SI unajua lakini maana ya siasa kwa hiyo tegemea lolote Kama ni kweli au tulishikwa kamba
MKUU hii chai ya wapi?
UE inakuwaga na marks 60 .Mkuu sijakuelewa hapo kwenye tamrini (cousrework ) Yaan Ulipata 34 out of 40 Halafu Ue ikawa na marks 100 Yaan maswali 5@20 sasa ukijumlisha Na zile 40 mbona marks zinazidi. MSAADA
Asee watu mmesoma kwa raha yaan semister 1 masomo 6?? Sie semister ikiwa na masomo machache ni 9 tena hio semister inakuwa ya bata hatari bt mostly semister ilikuwa na modules 12 mpka 13 so kwa mwaka ni modules 24 &26 kwhyo kukuta watu wana sup zaidi ya 10 ilokuwa kawaida sana... shkamoo wana DIT alumnNilisoma BA masomo 11 per year, 6/5 per semester mwisho supp 8 una disco!..
Imagine kuna watu September walikuwa wanaingia na pepa 11 na wanachomoa!. Unakuta supp 4 Carry 2 na special 5!.
September Conf ilikuwa tunaunda 'vijiji vya ujamaa' mwenye akili anawekwa kati then wale best coordinators wanawekwa pembeni hapo Mjamaa akilifanya lile pepa anawapa then wao wanalisambaza mpaka wote mnalipata!.
Ukiona huchomoi hapo unaandaa budget ya ticha kabisa, mkamalizane nje!. Uzuri wenye akili wengi walikuwa makapuku so kuomba special kwa ajili ya masuala ya ada ilikuwa kawaida!.
Wanaanzisha lini aseeRector ni yule yule shija kazumba, management ile ile the same.changes ni kidogo.wanataka waanzishe bachelor ya HYM na water LAB
CW 34
UE. 20 hii Sup ya wapi ?
Asee watu mmesoma kwa raha yaan semister 1 masomo 6?? Sie semister ikiwa na masomo machache ni 9 tena hio semister inakuwa ya bata hatari bt mostly semister ilikuwa na modules 12 mpka 13 so kwa mwaka ni modules 24 &26 kwhyo kukuta watu wana sup zaidi ya 10 ilokuwa kawaida sana... shkamoo wana DIT alumn
Mkuu ulisoma hesabu kidogo?Mkuu sijakuelewa hapo kwenye tamrini (cousrework ) Yaan Ulipata 34 out of 40 Halafu Ue ikawa na marks 100 Yaan maswali 5@20 sasa ukijumlisha Na zile 40 mbona marks zinazidi. MSAADA
Wanaanzisha lini asee
Supp haina huruma aise nilipokua chuo tokea nianze mpaka namaliza nilipata SUPP moja ya Economics ilikua ivi
tulikua na madame m moja anatufundisha Economics alikua mpole, sio muongeaji, mtaratibu, anafundisha vizuri, yani wakati wa kipindi chake ukijisikia huendi ukitaka unaenda yani haangaiki na mtu, kitim tim kilianza pepar ya test alituletea test ya economics rahis economics ya Advance 5&6 tulipata 90, 96, 84 zilikua za kutosha yani Coz work nilikua nayo ya 34 out of 40 sasa kimbembe ilikua final exam tulijua tena final mteremko yani economics tukaipuuzia tukajua ni inakuja rahisi kama ya test, dhuu!! Siku ya final ya economics nafungua mtihani duu sijawah jua kama kwenye economics kuna topics zile mtihan ulikua una maswali 5 kila swali 20mrks, nilijubu swali moja tu nilikua na huakina nalo, matokeo yanatoka na supp ya economics dhaa nilipata uzuni nikalipa 20,000 ya kurudia supp nilisoma kila kitu Nikachomoa iyo supp..
Mpaka sasa sipuuziagi kitu kila kitu nakichukulia uzito haya mambo ya mzaa sio mazuri aise.
kwa walio wahi kupata supp kama mm ya kwako ilikuaje??? Na ilikua ya nini???
CBE ilikuwa hata ukiwa na CW 39 na UE less than 24 unapata Tech Failure ambayo ni sawa na Supp mnakutana SeptConf!. Yanawezekana sana hayo!.
Labda kama wamebadili!.
Chuo gani hicho mkuu? CBE ama TEKU? naomba ukitaje nisije nikamruhusu mwanangu kukisoma.Nilisoma BA masomo 11 per year, 6/5 per semester mwisho supp 8 una disco!..
Imagine kuna watu September walikuwa wanaingia na pepa 11 na wanachomoa!. Unakuta supp 4 Carry 2 na special 5!.
September Conf ilikuwa tunaunda 'vijiji vya ujamaa' mwenye akili anawekwa kati then wale best coordinators wanawekwa pembeni hapo Mjamaa akilifanya lile pepa anawapa then wao wanalisambaza mpaka wote mnalipata!.
Ukiona huchomoi hapo unaandaa budget ya ticha kabisa, mkamalizane nje!. Uzuri wenye akili wengi walikuwa makapuku so kuomba special kwa ajili ya masuala ya ada ilikuwa kawaida!.