Tuliowai kupata Supplemental kwenye final exam za UE/IE tukutane hapa

Ilikua mwaka wa kwanza...

Kozi ilikua ENGINEERING MECHANICS (STATICS). daah kwa mara ya kwanza napata sup... Iliniuma sana!!

Baada ya kuenda "september conference" nikashangaa madude nayaelewa kweli kweli... Daah... Ikafika kipindi nikawa naomba ningekua na sup mbili...

Sup ilinisaidia sana kuisoma kwa undani hii kozi ya mechanics maana mpaka namaliza sup nilikua mtabe wa mechanics na ilinisaidia sana mwaka wa pili kwenye STRENGTH OF MATERIALS na mwaka wa tatu kwenye STRUCTURAL DESIGN...

Kwa msuli wa sup ukanifanya niwe "mshika pen kwenye discussion" hasa mwaka wa pili!!

Niliumia sana nilipopata sup ila nilifurahi sana nliporudi kuichomoa... Tulikua kama nusu ya darasa yani it was fun!!
 
Nilisoma BA masomo 11 per year, 6/5 per semester mwisho supp 8 una disco!..:)
Imagine kuna watu September walikuwa wanaingia na pepa 11 na wanachomoa!. Unakuta supp 4 Carry 2 na special 5!.
September Conf ilikuwa tunaunda 'vijiji vya ujamaa' mwenye akili anawekwa kati then wale best coordinators wanawekwa pembeni hapo Mjamaa akilifanya lile pepa anawapa then wao wanalisambaza mpaka wote mnalipata!.
Ukiona huchomoi hapo unaandaa budget ya ticha kabisa, mkamalizane nje!. Uzuri wenye akili wengi walikuwa makapuku so kuomba special kwa ajili ya masuala ya ada ilikuwa kawaida!.
Asee watu mmesoma kwa raha yaan semister 1 masomo 6?? Sie semister ikiwa na masomo machache ni 9 tena hio semister inakuwa ya bata hatari bt mostly semister ilikuwa na modules 12 mpka 13 so kwa mwaka ni modules 24 &26 kwhyo kukuta watu wana sup zaidi ya 10 ilokuwa kawaida sana... shkamoo wana DIT alumn
 
:):):)ndio maisha mkuu yalivyo.... kuna wadau wanapiga must, pale kuna kozi mwaka wa pili wana module 33,semester ya kwanza 15 na ya pili 18 ,
ukijichanganya tu hapo unajikuta nje ya mstari......
 
Mkuu sijakuelewa hapo kwenye tamrini (cousrework ) Yaan Ulipata 34 out of 40 Halafu Ue ikawa na marks 100 Yaan maswali 5@20 sasa ukijumlisha Na zile 40 mbona marks zinazidi. MSAADA
Mkuu ulisoma hesabu kidogo?
 
Supp haina huruma aise nilipokua chuo tokea nianze mpaka namaliza nilipata SUPP moja ya Economics ilikua ivi

tulikua na madame m moja anatufundisha Economics alikua mpole, sio muongeaji, mtaratibu, anafundisha vizuri, yani wakati wa kipindi chake ukijisikia huendi ukitaka unaenda yani haangaiki na mtu, kitim tim kilianza pepar ya test alituletea test ya economics rahis economics ya Advance 5&6 tulipata 90, 96, 84 zilikua za kutosha yani Coz work nilikua nayo ya 34 out of 40 sasa kimbembe ilikua final exam tulijua tena final mteremko yani economics tukaipuuzia tukajua ni inakuja rahisi kama ya test, dhuu!! Siku ya final ya economics nafungua mtihani duu sijawah jua kama kwenye economics kuna topics zile mtihan ulikua una maswali 5 kila swali 20mrks, nilijubu swali moja tu nilikua na huakina nalo, matokeo yanatoka na supp ya economics dhaa nilipata uzuni nikalipa 20,000 ya kurudia supp nilisoma kila kitu Nikachomoa iyo supp..
Mpaka sasa sipuuziagi kitu kila kitu nakichukulia uzito haya mambo ya mzaa sio mazuri aise.
kwa walio wahi kupata supp kama mm ya kwako ilikuaje??? Na ilikua ya nini???

Kirefu cha IE ni nini ? Na inakuwaje mnalipia supp ?
 
Nilisoma BA masomo 11 per year, 6/5 per semester mwisho supp 8 una disco!..:)
Imagine kuna watu September walikuwa wanaingia na pepa 11 na wanachomoa!. Unakuta supp 4 Carry 2 na special 5!.
September Conf ilikuwa tunaunda 'vijiji vya ujamaa' mwenye akili anawekwa kati then wale best coordinators wanawekwa pembeni hapo Mjamaa akilifanya lile pepa anawapa then wao wanalisambaza mpaka wote mnalipata!.
Ukiona huchomoi hapo unaandaa budget ya ticha kabisa, mkamalizane nje!. Uzuri wenye akili wengi walikuwa makapuku so kuomba special kwa ajili ya masuala ya ada ilikuwa kawaida!.
Chuo gani hicho mkuu? CBE ama TEKU? naomba ukitaje nisije nikamruhusu mwanangu kukisoma.
 
Back
Top Bottom